Fursa: Mechi ya Simba na Azam CCM Kirumba yatumika kutangaza Maandamano ya Amani

CDM nao wamechoka tu.
 
Ila siasa bhana dah, juzi kati kwenye AFCON Chadema walipinga timu kuendeshwa kisiasa leo hii hao hao Chadema wanaona sawa kutangaza maandamano yao kwenye mpira
Chadema na CCM wapo sawa kabisa, shida chadema wanaumia kukosa platform ya kula tu, ila ukiwapa sidhan kama watafanya tofaut na ccm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯‚
 
Chadema na CCM wapo sawa kabisa, shida chadema wanaumia kukosa platform ya kula tu, ila ukiwapa sidhan kama watafanya tofaut na ccm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯‚
CCM na Chadema ni pipa na mfuniko, wote wapigaji
 
Chadema na CCM wapo sawa kabisa, shida chadema wanaumia kukosa platform ya kula tu, ila ukiwapa sidhan kama watafanya tofaut na ccm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯‚
Waaminiwe, wapewe uongozi Ili kuthibitisha Hilo usemalo!!
 
Hata Nyerere alipokuwa anaikomboa Tanganyika kuna mamluki walimwita mjinga
Kwama CHADEMA mnataka kuikomboa Nchi?!
Mmeshindwa kujikomboa wenyewe kutoka kwa ' M/Kiti wa maisha' mtaweza kwa watanzania?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…