Theodory Byabatto
Member
- Jan 10, 2016
- 78
- 61
Mkuu paperbag za kubeba hivyo ulivyovitaja hapo juu zipo. Tatizo litakuja kwenye bei. Ninasema hivyo maana nimeona kwa majirani zetu Kenya hiyo mifuko ipo lakini ni ghali ambapo mteja wewe ndiye unayelazimika kuununua na sio sehemu ya huduma kutoka kwa muuzaji wa bidhaa kama tulivyozoea. Mfano Kenya ukienda buchani nyama unafungiwa kwenye karatasi lakini karatasi hiyo ni maalum hailowanishwi na maji maji au damu ya nyama.sidhani kama kuna paperbag ya kubeba tikiti maji au boga kwa mfano,sasa sijui babu zetu waliishije kabla ya plastic bag,as kwa kubeba kikapu haiwezimake,nani atakuwa anabeba kikapu mtaani mda wote,inabidi twende semina elekezi zanzibar kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app