Fursa: Mifuko ya nailoni imepigwa marufuku ni Wakati wetu sasa kutafuta kitu mbadala

Klay King

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
148
Reaction score
277
Habari za hapa wakuu

Kama mnavyojua mifuko ya plastic(nylon) zote zimepigwa marufuku miezi michache baadae zitaacha kutumika,hilo haliondoi sababu kwamba lazima watu madukan wapimiwe sukari,unga,maharagwe,mandazi n.k nusu,robo,kilo n.k

Vijana hii ni fursa kwetu kuja na idea nzuri yakureplace mifuko ya nylon,inatumika sana,soko ni uhakika kwa 95%.

Kwa upande wa kufungia vitu dukan nina idea ya zile bahasha flani hivi nyepesi za kakii...kwa wale wanaonda kuchukua vitafunwa kwenye migahawa mikubwa na ya kati wanazijua. Bahasha flani hivi kama za pembe nne, ile ni fursa ndugu zangu.

Nawakaribisha wataalamu wa mambo wanaojua upatikanaji wa mashine ya kutengeneza zile bahasha,bei, n.k

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri pia ungejaribu kumuuliza mtu ambaye yupo Zanzibar wenzetu kule wamefanikiwa kuteketeza plastiki wanatumia mifuko ya karatasi yenye material laini sana pia nadhani kuna fursa pia kwenye mkonge tukipata wabunifu tunaweza kupata mifuko mizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kama hizi
images%20(2).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za hapa wakuu

Kama mnavyojua mifuko ya plastic(nylon) zote zimepigwa marufuku miezi michache baadae zitaacha kutumika,hilo haliondoi sababu kwamba lazima watu madukan wapimiwe sukari,unga,maharagwe,mandazi n.k nusu,robo,kilo n.k

Vijana hii ni fursa kwetu kuja na idea nzuri yakureplace mifuko ya nylon,inatumika sana,soko ni uhakika kwa 95%.

Kwa upande wa kufungia vitu dukan nina idea ya zile bahasha flani hivi nyepesi za kakii...kwa wale wanaonda kuchukua vitafunwa kwenye migahawa mikubwa na ya kati wanazijua. Bahasha flani hivi kama za pembe nne, ile ni fursa ndugu zangu.

Nawakaribisha wataalamu wa mambo wanaojua upatikanaji wa mashine ya kutengeneza zile bahasha,bei, n.k

Karibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah, hili linawezekana kabisa.

Ngoja tusubiri wataalam, waje watueleze kiundani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi kwa kufunga sukar unga na vitu vodogo dogo ni perfect kabisa...zikiwa 50 hata kwa buku sio mbayaView attachment 1067777

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course ndio, tena na hapo unakaa chini na wateja wako kadhaa (shop owners)....mnaingia mkataba maalum wa kuprinti na majina ya biashara kabisa(logo).

Yaani lazima uwavue tu, wapende wasipende....

Embu ngoja tusubiri wadau, watelemke yao. Me nina shauku ya kutaka kufahamu tu haya makalatasi yanapatikana wapi? Na kwa bei gani? Full stop.

Hofu yangu hapa tunaweza tusipate msaada wowote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom