Mkuu unatoa madini muhimu sana, naomba uelezee zaidi hii ya kufuatana na albino ikoje hiina ukifika mayote ukifatana na albino mnapewa uraia wa france ujue tu vya kujieleza
Ushauri mazuri1. sehemu ya kufikia
2. biashara utakayo kuja nayo
3. usafirishaji utakao tumia kuja na mzigo
4. hela ya kutolea mzigo bandarini
5. sehemu ya kuuweka mzigo baada ya kuutoa bandarini
kuna changamoto nyingi saana na ukizingatia unaetoka tz ukija comores inakubidi uje na euro maana pesa ya tz haitumiki comores na tsh to euro ni hela nyingi 1euro minimum ni 2500tsh wateja wa comores wana shida zao na hata kupata mteja akanunua mzigo kwa jumla ni shida inategemea na biashara utakayo kuja nayo kiufupi kabla ya kuanza biashara nchini comoro kwanza uje kukodi room ambayo sawa na 50euro laki n 25 kwa mwezi pili utafute oda kwa wauzaji wa jumla au hata wareja reja ukifika na mzigo unaweza ukapata mkopo kutoka kwa wateja wako hadi utakapo toa mzigo ama watanzania waliopô wakusaidie kukupa hela ya kwenda kutoa mzigo na hiyo haina garantii maana hakuna uaminifu watu wamesha ibiana sana mii binafsi yangu nilimpa mtu euro 1500 aende kutoa magodoro kaenda kutoa baada ya kuuza hata hakuniaga kachukua ndege kaondoka kaja zake tz
na wa tz waliopo huko baadhi yao hujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya bangi na unga huzuga kwa kuuza vitunguu ili tu wasijulikane binafsi yangu nisha mpokea mgeni kwa kumsaidia akalala kwangu nikamuuliza umekuja na biashara gani akanambia nimekuja na choclate madwa ya kulevya hayo cjui yanaitwaje nilimuhurumia nikampa hifadhi lakini nikampa wiki moja tu aondoke nilichukua riski kubwa ila nilimuhurumia kwasababu tu ni mtanzania kuna mambo mengi visiwani comores na biashara ni nzuri maana hela yao ni kubwa kuliko shillingi ya tz ila yataka ukakamavu wa hali ya juu kama una suali lolote nitafute nitakupa ushauri mii nilikua na duka la jumla ila mzigo tulikua tunatoa dubai direct
Ni hatari hebu tudadavulie hapo? Nna jamaa yangu kaenda Comoro kuuza dawa za nguvu za kiume anasema kuna wateja sana coz wacomoro wanaoa wanawake wengi..Toka aondoke 2014 sijasikia tena kutoka kwake labda na yeye ametekwa na mwanamke wa kingazijatahadhari kwa mwenye kwenda kufanya biashara comores
usije onja penzi la kingazija utapoteza mali yote hurudi na kitu tushawachangia watu nauli ya kurudi
Naskia wacomoro wengi wanafia baharini wakivuka kuingia mayotte.na ukifika mayote ukifatana na albino mnapewa uraia wa france ujue tu vya kujieleza
Wanatumia kifaransa sasa mtaelewanaje?na ukifika mayote ukifatana na albino mnapewa uraia wa france ujue tu vya kujieleza
Mkuu Comoro unaishi wapi?1. sehemu ya kufikia
2. biashara utakayo kuja nayo
3. usafirishaji utakao tumia kuja na mzigo
4. hela ya kutolea mzigo bandarini
5. sehemu ya kuuweka mzigo baada ya kuutoa bandarini
kuna changamoto nyingi saana na ukizingatia unaetoka tz ukija comores inakubidi uje na euro maana pesa ya tz haitumiki comores na tsh to euro ni hela nyingi 1euro minimum ni 2500tsh wateja wa comores wana shida zao na hata kupata mteja akanunua mzigo kwa jumla ni shida inategemea na biashara utakayo kuja nayo kiufupi kabla ya kuanza biashara nchini comoro kwanza uje kukodi room ambayo sawa na 50euro laki n 25 kwa mwezi pili utafute oda kwa wauzaji wa jumla au hata wareja reja ukifika na mzigo unaweza ukapata mkopo kutoka kwa wateja wako hadi utakapo toa mzigo ama watanzania waliopô wakusaidie kukupa hela ya kwenda kutoa mzigo na hiyo haina garantii maana hakuna uaminifu watu wamesha ibiana sana mii binafsi yangu nilimpa mtu euro 1500 aende kutoa magodoro kaenda kutoa baada ya kuuza hata hakuniaga kachukua ndege kaondoka kaja zake tz
na wa tz waliopo huko baadhi yao hujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya bangi na unga huzuga kwa kuuza vitunguu ili tu wasijulikane binafsi yangu nisha mpokea mgeni kwa kumsaidia akalala kwangu nikamuuliza umekuja na biashara gani akanambia nimekuja na choclate madwa ya kulevya hayo cjui yanaitwaje nilimuhurumia nikampa hifadhi lakini nikampa wiki moja tu aondoke nilichukua riski kubwa ila nilimuhurumia kwasababu tu ni mtanzania kuna mambo mengi visiwani comores na biashara ni nzuri maana hela yao ni kubwa kuliko shillingi ya tz ila yataka ukakamavu wa hali ya juu kama una suali lolote nitafute nitakupa ushauri mii nilikua na duka la jumla ila mzigo tulikua tunatoa dubai direct
Hivi gambe hawapigi? Sijawahi kusikia mtu anapeleka vyombe au ndio dini imeshika hatamu? Lakini kwa kuwa ni visiwa si kuna hotels na sehemu za bata angalau kwa wageniComoro kikubwa kama ni masuala ya biashara ya vyakula comoro unapaswa kuwa makini na kuhakikisha wanachopkipenda wale wanachagua vyakula mnooo usije ukajichanganya ukapeleka kitu tofautui na wanavyopenda utajuta
Mfano kuna aina ya magimbi huwa hawapendi kama mjuavyo yapo ya aina mbili
Viazi mbatata wanapenda ila kuna vya aina yake ndo wanapenda zaidi
Ni wezi narudia ni Wezi kamwe usimwamini mcomoro narudia hawakawii kukuzunguka chap so akili kichwani na unapomuamini
Malazi ni gharama hata chakula pia ila penda ku hangout na watz wenzako utakaowakuta kule utapata mbinu za kuminimize cost ya kuish kule
Mzigo kabla haujaupeleka hakikisha umepata taarifa sahihi usije kulia
Pesa zipo kule hawapendi kufanya kazi ila pesa wanazo kutoka kwa ndugu zao waliopo nje
Ni sawa na upeleke kitimoto na biblia kule maka au madinaHivi gambe hawapigi? Sijawahi kusikia mtu anapeleka vyombe au ndio dini imeshika hatamu? Lakini kwa kuwa ni visiwa si kuna hotels na sehemu za bata angalau kwa wageni
mkuu mimi naishi irohe ya oichili huko ndio kwetu ila biashara zangu zilikua moroniMkuu Comoro unaishi wapi?
Mitsamihouli, Fomboni, Moheli, Anjuani Hahaya au wapi?
Na Vipi Mabawa na Shelisheli (Firyampia) ushayazoea Mkuu? Nilikua nayala ya 1,000/- yao nashiba kabisa,
Wasalimie Golden Tulip, pale Itsandra, last week walinipokea vizuri sana, nilikuja kukagua madhara ya Kimbunga hapo hotelini.
mapenzi hayana lughaWanatumia
Wanatumia kifaransa sasa mtaelewanaje?
tafadhali usitukane wacomoro huwajui kila sehemu kuna wabaya na wazuriNi sawa na upeleke kitimoto na biblia kule maka au madina
Wale dini wapi ni washenzi zanzibar wana nafuu labda bhangi na sijui utaifikishaje , biashara nzuri ni ya chakula maana hawalimi kitu na vifaa vya ujenzi kama mabati, mbao n.k na maji safi pia,na unga ila hapo si sana maana ramadhani yenyewe ishakata unga wao ni uji tu Ugali hawali
kuepuka ajali unatumia ngalawa isiyozidi watu 5 na pia kipindi cha upepo unatakiwa usiendeNaskia wacomoro wengi wanafia baharini wakivuka kuingia mayotte.
Tupe njia za kufika huko kuna warundi wanaishi Mayotte wakirudi huku huwa wanasema wametoka ulaya.