FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

pasport ya kule haitokusaidia lolote njoo na mkwaju wa tz halafu unachukua ngalawa unenda kisiwa cha mayote unaenda kujiripua
 
na ukifika mayote ukifatana na albino mnapewa uraia wa france ujue tu vya kujieleza
 
Mkuu unatoa madini muhimu sana, naomba uelezee zaidi hii ya kufuatana na albino ikoje hii
 
wee hujui kua albino wananyanyaswa tz kwa kuuliwa kwa dhana za kishirikina sasa wee mdogo wako au kaka ako hata kama ni uongo unatambulisha hivyo hahahha
 
1. sehemu ya kufikia
2. biashara utakayo kuja nayo
3. usafirishaji utakao tumia kuja na mzigo
4. hela ya kutolea mzigo bandarini
5. sehemu ya kuuweka mzigo baada ya kuutoa bandarini
kuna changamoto nyingi saana na ukizingatia unaetoka tz ukija comores inakubidi uje na euro maana pesa ya tz haitumiki comores na tsh to euro ni hela nyingi 1euro minimum ni 2500tsh wateja wa comores wana shida zao na hata kupata mteja akanunua mzigo kwa jumla ni shida inategemea na biashara utakayo kuja nayo kiufupi kabla ya kuanza biashara nchini comoro kwanza uje kukodi room ambayo sawa na 50euro laki n 25 kwa mwezi pili utafute oda kwa wauzaji wa jumla au hata wareja reja ukifika na mzigo unaweza ukapata mkopo kutoka kwa wateja wako hadi utakapo toa mzigo ama watanzania waliopô wakusaidie kukupa hela ya kwenda kutoa mzigo na hiyo haina garantii maana hakuna uaminifu watu wamesha ibiana sana mii binafsi yangu nilimpa mtu euro 1500 aende kutoa magodoro kaenda kutoa baada ya kuuza hata hakuniaga kachukua ndege kaondoka kaja zake tz
na wa tz waliopo huko baadhi yao hujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya bangi na unga huzuga kwa kuuza vitunguu ili tu wasijulikane binafsi yangu nisha mpokea mgeni kwa kumsaidia akalala kwangu nikamuuliza umekuja na biashara gani akanambia nimekuja na choclate madwa ya kulevya hayo cjui yanaitwaje nilimuhurumia nikampa hifadhi lakini nikampa wiki moja tu aondoke nilichukua riski kubwa ila nilimuhurumia kwasababu tu ni mtanzania kuna mambo mengi visiwani comores na biashara ni nzuri maana hela yao ni kubwa kuliko shillingi ya tz ila yataka ukakamavu wa hali ya juu kama una suali lolote nitafute nitakupa ushauri mii nilikua na duka la jumla ila mzigo tulikua tunatoa dubai direct
Ushauri mazuri
 
Ni
tahadhari kwa mwenye kwenda kufanya biashara comores
usije onja penzi la kingazija utapoteza mali yote hurudi na kitu tushawachangia watu nauli ya kurudi
Ni hatari hebu tudadavulie hapo? Nna jamaa yangu kaenda Comoro kuuza dawa za nguvu za kiume anasema kuna wateja sana coz wacomoro wanaoa wanawake wengi..Toka aondoke 2014 sijasikia tena kutoka kwake labda na yeye ametekwa na mwanamke wa kingazija
 
na ukifika mayote ukifatana na albino mnapewa uraia wa france ujue tu vya kujieleza
Naskia wacomoro wengi wanafia baharini wakivuka kuingia mayotte.
Tupe njia za kufika huko kuna warundi wanaishi Mayotte wakirudi huku huwa wanasema wametoka ulaya.
 
1. sehemu ya kufikia
2. biashara utakayo kuja nayo
3. usafirishaji utakao tumia kuja na mzigo
4. hela ya kutolea mzigo bandarini
5. sehemu ya kuuweka mzigo baada ya kuutoa bandarini
kuna changamoto nyingi saana na ukizingatia unaetoka tz ukija comores inakubidi uje na euro maana pesa ya tz haitumiki comores na tsh to euro ni hela nyingi 1euro minimum ni 2500tsh wateja wa comores wana shida zao na hata kupata mteja akanunua mzigo kwa jumla ni shida inategemea na biashara utakayo kuja nayo kiufupi kabla ya kuanza biashara nchini comoro kwanza uje kukodi room ambayo sawa na 50euro laki n 25 kwa mwezi pili utafute oda kwa wauzaji wa jumla au hata wareja reja ukifika na mzigo unaweza ukapata mkopo kutoka kwa wateja wako hadi utakapo toa mzigo ama watanzania waliopô wakusaidie kukupa hela ya kwenda kutoa mzigo na hiyo haina garantii maana hakuna uaminifu watu wamesha ibiana sana mii binafsi yangu nilimpa mtu euro 1500 aende kutoa magodoro kaenda kutoa baada ya kuuza hata hakuniaga kachukua ndege kaondoka kaja zake tz
na wa tz waliopo huko baadhi yao hujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya bangi na unga huzuga kwa kuuza vitunguu ili tu wasijulikane binafsi yangu nisha mpokea mgeni kwa kumsaidia akalala kwangu nikamuuliza umekuja na biashara gani akanambia nimekuja na choclate madwa ya kulevya hayo cjui yanaitwaje nilimuhurumia nikampa hifadhi lakini nikampa wiki moja tu aondoke nilichukua riski kubwa ila nilimuhurumia kwasababu tu ni mtanzania kuna mambo mengi visiwani comores na biashara ni nzuri maana hela yao ni kubwa kuliko shillingi ya tz ila yataka ukakamavu wa hali ya juu kama una suali lolote nitafute nitakupa ushauri mii nilikua na duka la jumla ila mzigo tulikua tunatoa dubai direct
Mkuu Comoro unaishi wapi?
Mitsamihouli, Fomboni, Moheli, Anjuani Hahaya au wapi?
Na Vipi Mabawa na Shelisheli (Firyampia) ushayazoea Mkuu? Nilikua nayala ya 1,000/- yao nashiba kabisa,

Wasalimie Golden Tulip, pale Itsandra, last week walinipokea vizuri sana, nilikuja kukagua madhara ya Kimbunga hapo hotelini.
 
Safi sana naomba pia mnapoenda muitangaze asiliatz ni tovuti ya kuuza na kununua bidhaa,..

Tunapoelekea biashara inabidi kufanyika kidigitali.
 
Comoro kikubwa kama ni masuala ya biashara ya vyakula comoro unapaswa kuwa makini na kuhakikisha wanachopkipenda wale wanachagua vyakula mnooo usije ukajichanganya ukapeleka kitu tofautui na wanavyopenda utajuta

Mfano kuna aina ya magimbi huwa hawapendi kama mjuavyo yapo ya aina mbili

Viazi mbatata wanapenda ila kuna vya aina yake ndo wanapenda zaidi

Ni wezi narudia ni Wezi kamwe usimwamini mcomoro narudia hawakawii kukuzunguka chap so akili kichwani na unapomuamini

Malazi ni gharama hata chakula pia ila penda ku hangout na watz wenzako utakaowakuta kule utapata mbinu za kuminimize cost ya kuish kule

Mzigo kabla haujaupeleka hakikisha umepata taarifa sahihi usije kulia

Pesa zipo kule hawapendi kufanya kazi ila pesa wanazo kutoka kwa ndugu zao waliopo nje
Hivi gambe hawapigi? Sijawahi kusikia mtu anapeleka vyombe au ndio dini imeshika hatamu? Lakini kwa kuwa ni visiwa si kuna hotels na sehemu za bata angalau kwa wageni
 
Ni sawa na upeleke kitimoto na biblia kule maka au madina

Wale dini wapi ni washenzi zanzibar wana nafuu labda bhangi na sijui utaifikishaje , biashara nzuri ni ya chakula maana hawalimi kitu na vifaa vya ujenzi kama mabati, mbao n.k na maji safi pia,na unga ila hapo si sana maana ramadhani yenyewe ishakata unga wao ni uji tu Ugali hawali
 
keybod yangu ina tatizo ndio maana nimeshindwa kujibu
 
Mkuu Comoro unaishi wapi?
Mitsamihouli, Fomboni, Moheli, Anjuani Hahaya au wapi?
Na Vipi Mabawa na Shelisheli (Firyampia) ushayazoea Mkuu? Nilikua nayala ya 1,000/- yao nashiba kabisa,

Wasalimie Golden Tulip, pale Itsandra, last week walinipokea vizuri sana, nilikuja kukagua madhara ya Kimbunga hapo hotelini.
mkuu mimi naishi irohe ya oichili huko ndio kwetu ila biashara zangu zilikua moroni
 
Ni sawa na upeleke kitimoto na biblia kule maka au madina

Wale dini wapi ni washenzi zanzibar wana nafuu labda bhangi na sijui utaifikishaje , biashara nzuri ni ya chakula maana hawalimi kitu na vifaa vya ujenzi kama mabati, mbao n.k na maji safi pia,na unga ila hapo si sana maana ramadhani yenyewe ishakata unga wao ni uji tu Ugali hawali
tafadhali usitukane wacomoro huwajui kila sehemu kuna wabaya na wazuri
 
Naskia wacomoro wengi wanafia baharini wakivuka kuingia mayotte.
Tupe njia za kufika huko kuna warundi wanaishi Mayotte wakirudi huku huwa wanasema wametoka ulaya.
kuepuka ajali unatumia ngalawa isiyozidi watu 5 na pia kipindi cha upepo unatakiwa usiende
 
Back
Top Bottom