Fursa nchini Morocco: Biashara ya mbuzi inalipa sana

Fursa nchini Morocco: Biashara ya mbuzi inalipa sana

Forfofo

Senior Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
161
Reaction score
359
Kwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.

Nilienda Morocco kupitia Mali kwa Tombouctou Airport ya Mali to Duarzazate airport ya morocco.
Nikiwa Morocco nimetembelea majiji tofauti tofauti km unavyojua tunaojitafuta kila tulipo tunaangalia furasa, kati ya majiji niliotembea ni pamoja na Nador, Tetouan na Tangier(mji wa kibiashara sana,maana hapa watu utoka ulaya kuja kufanya biashara hapa).

Kuna fursa nimeliona Morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.

Kule Waarabu wana hela, hawalili bei kiasi hicho. Kama anahitaji atachukua. Lkn mbuzi wengi sana wanaenda ulaya, nimeona niwasanue kwa hili.
 
Kuna fursa nimeliona morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Ulikumbuka kuwauliza vipi uwanja wa michezo waliotuahidi?
 
Umeshindwa kumtafuta muuzaji wako mfanye kazi vingunguti mbuzi 80k mpaka 120k ukimuuzia kwa 300k uhakika miguu juu ya viti virefu
Ni wewe sasa uuzw vingunguti au morocco, alafu uzi umelenga wale wa mbuzi wengi, vungunguz utamuuza moja ukimaliza unafata tena ila hii soko kubwa alafu uhakika
 
Kwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.
Nilienda morocco kupitia Mali kwa Tombouctou airport ya mali to Duarzazate airport ya morocco.
Nikiwa morocco nimetembelea majiji tofauti tofauti km unavyojua tunaojitafuta kila tulipo tunaangalia furasa, kati ya majiji niliotembea ni pamoja na Nador, Tetouan na Tangier(mji wa kibiashara sana,maana hapa watu utoka ulaya kuja kufanya biashara hapa).
Kuna fursa nimeliona morocco, kwa mtu mwenye connection na mtaji unaweza ukaifanya. Morocco biashara ya Mbuzi inalipa sana, kule wanapenda sana nyama choma hasa ya mbuzi, wazungu wanatoka Spain kuja kununua mbuzi Morocco. Mbuzi mwenye ubora mzuri anauzwa hadi laki tano(500,000/=)kwa ela ya kitanzania na wakati mwingine mbuzi zinakuwa hadimu bei upanda.
Kule warabu wana ela hawalili bei kiasi hicho,km anaitaji atachukua.lkn mbuzi wengi sana wanaenda ulaya,nimeona niwasanue kwa hili.
Hadimu❌
Adimu✔️
Upanda❌
Hupanda✔️
Warabu❌
Waarabu ✔️
Ela❌
Hela✔️
 
Back
Top Bottom