MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,240
- Thread starter
- #41
Hv we sister unajielewa kweli?una uhakika radio Manyara iko hewani au na wewe upo kwenye list ya Konki master, Tatizo unajifanya unajua sana, Na ukithibitisha kwamba wako hewan, nta kuwekea barua ya tcra ya kuwasimamishia matangazoNimekutolea mfano na nimekutajia pia kuna Radio Manyara 92.1 na wewe ulivyo muongo unasema eti imefungiwa...labda wewe ndo umeifungia
Napokwambia umekurupuka namaanisha unatoa mrejesho wa ulichokiona sio uhalisia...mimi nimekupa uhalisia wa mji wa Babati
Rudi ukafanye utafiti uje utoe mrejesho wa kiuhalisia sio wa ulichokiona wewe kwako kinafaa kukieka kwenye uzi
Ndio maana mwanzo ilikuwaga Ngunguu, baada ya matatizo wamehamia Mrara juu, lakini pia bado hawajaanza kurusha matangazo, Ngoja nikuache na kingereza chako cha ugoko, mwisho ntapigwa Burn bure