Manyara haina population kubwa mpaka kuwe na uwepo wa vitu hivyo....Lakini kwa uwezo wake kuna vitu vya kitofauti zaidi ambavyo kama hujavielewa utakuja kuumia ukienda na biashara yako.
Radio Manyara ipo BABATI....Radio Habari Njema ipo MBULU
Daladala zipo za kwenda sehemu nyingi tu kama Bonga,Dareda,Riroda,Galapo,Magugu na sehemu nyingi tu...hauezi leta daladala itakayobeba watu kutoka stand mpk gendi au nangara au mkoani ndo maana biashara ya bajaji na boda boda imeshamiri sana mkoa huu...ungeniambia uongeze idadi ya bajaji ningekuelewa
Huezi eka show room ya magari babati...mji hauna watu wenye uwezo wa kununua magari kiivo, watu wengi ni wa kipato cha kati na chini...
Nguo za mitumba hazitoki kwa kuwa watu wa Manyara wana tamaduni ya kwenda minadani kuanzia tarehe 16 Galapo na kuisha tarehe 26 Babati hapo unazunguka sehemu mbali mbali kama Riroda, Bonga, Kiru, Magugu, Dareda Center na Mission, Endasaki, Endanachani, Gidas...kwahy huezi fungua frem ukauza mtumba utaishia kuzivaa mwenyew...pia kuna kitu inaitwa top 200 ni maarufu sana babati na ndo nguo za mtumba zinavyouzwa babati...
Vinga'muzi havivumi Babati kwa sababu kuna cable networks kama Manyara Cable Network (MCN) (90000/= Tshs) na Babati Cable Network (Aviti) (80000/=) ambayo ni bei rahisi kushinda hata hivyo ving'amuzi
Wanawake wapo wengi nakuunga mkono...ni wewe tu...desirii wa kiiraq ata ukimpa tabasamu zuri tu unamla hana shida ata.
Nadhani hujafanya research vizuri ndani ya huu mji....ulikurupuka kutoa uzi huu
NAWASILISHA,
ASANTE.