Fursa ndani ya Babati - Manyara

Fursa ndani ya Babati - Manyara

Wekeza kwenye radio station vilivyobaki usipoteze muda utarudi na machozi mabinti ni zaidi ya wadangaji mitumba ipo ya kutosha cjui umetembelea wap kuhusu supermarket kubwa bado mchangayiko sio mkubwa sana wa makabila
 
Acha kuwa hukum, Any way twambie ni wapi au mkoa gani ambao sio chapa ilale?
Hata hapa kigoma ninapo ongoza Mimi mfalme sioni utofauti
Mabinti wa kiiraki hawatambui neno hapana wao ni chapa ilale.
 
Wekeza kwenye radio station vilivyobaki usipoteze muda utarudi na machozi mabinti ni zaidi ya wadangaji mitumba ipo ya kutosha cjui umetembelea wap kuhusu supermarket kubwa bado mchangayiko sio mkubwa sana wa makabila
Mitumba iko wapi broo, kutokuwepo super market ndio frusa yenyewe
 
Manyara haina population kubwa mpaka kuwe na uwepo wa vitu hivyo....Lakini kwa uwezo wake kuna vitu vya kitofauti zaidi ambavyo kama hujavielewa utakuja kuumia ukienda na biashara yako.

Radio Manyara ipo BABATI....Radio Habari Njema ipo MBULU

Daladala zipo za kwenda sehemu nyingi tu kama Bonga,Dareda,Riroda,Galapo,Magugu na sehemu nyingi tu...hauezi leta daladala itakayobeba watu kutoka stand mpk gendi au nangara au mkoani ndo maana biashara ya bajaji na boda boda imeshamiri sana mkoa huu...ungeniambia uongeze idadi ya bajaji ningekuelewa

Huezi eka show room ya magari babati...mji hauna watu wenye uwezo wa kununua magari kiivo, watu wengi ni wa kipato cha kati na chini...

Nguo za mitumba hazitoki kwa kuwa watu wa Manyara wana tamaduni ya kwenda minadani kuanzia tarehe 16 Galapo na kuisha tarehe 26 Babati hapo unazunguka sehemu mbali mbali kama Riroda, Bonga, Kiru, Magugu, Dareda Center na Mission, Endasaki, Endanachani, Gidas...kwahy huezi fungua frem ukauza mtumba utaishia kuzivaa mwenyew...pia kuna kitu inaitwa top 200 ni maarufu sana babati na ndo nguo za mtumba zinavyouzwa babati...

Vinga'muzi havivumi Babati kwa sababu kuna cable networks kama Manyara Cable Network (MCN) (90000/= Tshs) na Babati Cable Network (Aviti) (80000/=) ambayo ni bei rahisi kushinda hata hivyo ving'amuzi

Wanawake wapo wengi nakuunga mkono...ni wewe tu...desirii wa kiiraq ata ukimpa tabasamu zuri tu unamla hana shida ata.

Nadhani hujafanya research vizuri ndani ya huu mji....ulikurupuka kutoa uzi huu

NAWASILISHA,

ASANTE.
 
Umemaliza kila kitu bro
 
Mkuu unaelewa maana ya neno Frusa?
Mimi hua sikurupuki kuleta uzi bila kufanya utafiti ,Kwanza kitendo cha kusema kwamba Babati Hakuna watu wanao weza kununua magari kwa kigezo kwamba Hakuna watu wengi lakini pia "Eti "uwezo wao ni mdogo, bro hiyo ni dharau kwa sehem.

Lakini pia Dala dala nilizo zungumzia sio za masafa marefu km wewe ulivyo taja Kiru, Magugu nk, Nimemanisha Town to sawe, town to Kwere, town to Negamsii, Town to maisaka, town to Kwa Bomboo Nk. Kwako umeona haiwezekani ila ndio maana ya Frusa ,km bajaji zinafanya kazi hyo basi Dala dala zina weza pia

Kuhusu uwepo wa Minada sio sababu kwamba watu wakijitokeza kuuza kwa wingi mitaani kwamba watu hawata nunua
Nenda mikoani tu ndo utajua kwamba pamoja na uwepo wa minada bado nguo zinauzika mitaani

So hapo kwenye minada, ndipo penye frusa ya kuuza nguo kila siku mitaani
,watu wanavaa za dukani coz mitumba haiuzwi kila siku.
Karibu kigoma tutigite!
 
92.2 haipo tena, nilifanya uchunguzi nikaambiwa imefungwa kwa takribani miezi 7 iliyo pita, Hivyo manyara Hakuna radio wala TV, so hyo ni frusa
Kuna 95.3 Smile Fm pia kwenye daladala wengi walishajaribu sana lakini wakaishia kusitisha huduma hiyo kutokana na kukosa abiria wengi wanapanda bajaji na bodaboda
 
Mkuu unaelewa maana ya neno Frusa?
Mimi hua sikurupuki kuleta uzi bila kufanya utafiti ,Kwanza kitendo cha kusema kwamba Babati Hakuna watu wanao weza kununua magari kwa kigezo kwamba Hakuna watu wengi lakini pia "Eti "uwezo wao ni mdogo, bro hiyo ni dharau kwa sehem.

Lakini pia Dala dala nilizo zungumzia sio za masafa marefu km wewe ulivyo taja Kiru, Magugu nk, Nimemanisha Town to sawe, town to Kwere, town to Negamsii, Town to maisaka, town to Kwa Bomboo Nk. Kwako umeona haiwezekani ila ndio maana ya Frusa ,km bajaji zinafanya kazi hyo basi Dala dala zina weza pia

Kuhusu uwepo wa Minada sio sababu kwamba watu wakijitokeza kuuza kwa wingi mitaani kwamba watu hawata nunua
Nenda mikoani tu ndo utajua kwamba pamoja na uwepo wa minada bado nguo zinauzika mitaani

So hapo kwenye minada, ndipo penye frusa ya kuuza nguo kila siku mitaani
,watu wanavaa za dukani coz mitumba haiuzwi kila siku.
Karibu kigoma tutigite!
Nimegundua akili yako ni finyu af huijui Babati vizuri we ni wa kuja tena kichwa kichwa...kingine comment yangu point ipo mwanzoni kabisa na hujaielewa ndo maana umeng'ang'ana kusema fursa ipo fursa ipo...usidanganye watu humu utawafelisha...nimezaliwa babati, nimekua babati cdhani kama hivyo vyote unavyovisema cvijui

Ueke dala dala ya town maisaka wakati wanaotoka maisaka kuja town kwa siku hata 50 hawafiki utaenda trip ngapi? Wakati wa bajaji au boda boda ata elf 10 tu ya abiria wa maisaka au uko unakokusema wewe hapati

Maduka mengi ya mitumba babati yamekufa kutokana na tamaduni ya minada na top 200...unataka kusema watu wa babati ni wachovu sana mpk wasijue kuna fursa ya kuuza mitumba?...pita maeneo ya zilipokuwa nyumba za national housing zamani kuna watu wanauza nguo za mitumba pale kawaulize kwa siku wanauza nguo ngapi? Af nenda mnadani ukajionee utofauti wake...

Ishu ya magari asilimia kubwa ya magari yaliyopo babati wamiliki wake ni watumishi wa serikali au wamiliki wa kampuni za mabasi na wafanyabiashara wachache sana...magari yenyewe yamechoka...unaeza ukakaa ata dakika kumi usione gari limepita wangekuwa na uwezo ci kungekuwa na jam babati

Umekurupuka kutoa uzi narudia tena UMEKURUPUKA KUTOA UZI hauijui BABATI vizuri umezurura tu kujua mapungufu yake lkn hujataka kujua wanatumia alternative gan kuziepuka hizo changamoto...
 
Sio kweli
Kuna 95.3 Smile Fm pia kwenye daladala wengi walishajaribu sana lakini wakaishia kusitisha huduma hiyo kutokana na kukosa abiria wengi wanapanda bajaji na bodaboda
 
Nimegundua akili yako ni finyu af huijui Babati vizuri we ni wa kuja tena kichwa kichwa...kingine comment yangu point ipo mwanzoni kabisa na hujaielewa ndo maana umeng'ang'ana kusema fursa ipo fursa ipo...usidanganye watu humu utawafelisha...nimezaliwa babati, nimekua babati cdhani kama hivyo vyote unavyovisema cvijui

Ueke dala dala ya town maisaka wakati wanaotoka maisaka kuja town kwa siku hata 50 hawafiki utaenda trip ngapi? Wakati wa bajaji au boda boda ata elf 10 tu ya abiria wa maisaka au uko unakokusema wewe hapati

Maduka mengi ya mitumba babati yamekufa kutokana na tamaduni ya minada na top 200...unataka kusema watu wa babati ni wachovu sana mpk wasijue kuna fursa ya kuuza mitumba?...pita maeneo ya zilipokuwa nyumba za national housing zamani kuna watu wanauza nguo za mitumba pale kawaulize kwa siku wanauza nguo ngapi? Af nenda mnadani ukajionee utofauti wake...

Ishu ya magari asilimia kubwa ya magari yaliyopo babati wamiliki wake ni watumishi wa serikali au wamiliki wa kampuni za mabasi na wafanyabiashara wachache sana...magari yenyewe yamechoka...unaeza ukakaa ata dakika kumi usione gari limepita wangekuwa na uwezo ci kungekuwa na jam babati

Umekurupuka kutoa uzi narudia tena UMEKURUPUKA KUTOA UZI hauijui BABATI vizuri umezurura tu kujua mapungufu yake lkn hujataka kujua wanatumia alternative gan kuziepuka hizo changamoto...
Naona umechangia hoja kwa hasira Sana, bila Shaka wewe ni mkazi wa maisaka.

Ningekuwa nimekurupuka usinge toa mchango wako wa mawazo. By the way karibu Sana Kigoma Ingo tutigite
 
Usichukie mimi kukuprove wrong unataka kupoteza watu kwa kitu ambacho hukijui...ndo maana nakwambia tena umekurupuka

Hujafanya research yoyote kwa ulichokisema kwenye uzi wako
 
Njoo uungane na waha wenzako mjini ukakopeshe wamama mitaani

Fursa hiyo waha wenzako wanaishughulikia [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaonekana hilo neno kukurupuka unalipenda sana, Hakuna mtu ambae atakuja kuwekeza bila kufanya utafiti wake, By the way kwangu Mimi nilicho kiona ni frusa kwangu, wala sihitaji unibishie kwa kile ninacho kiamini,
Inawezekana kile ninacho kiona ni tofaufi na unacho kiona.
Mimi nilizungumzia Radio (Babati) wewe unasema kuna Radio ya mbulu,
Huoni kwamba hatuelewani?
Usichukie mimi kukuprove wrong unataka kupoteza watu kwa kitu ambacho hukijui...ndo maana nakwambia tena umekurupuka

Hujafanya research yoyote kwa ulichokisema kwenye uzi wako
 
Inaonekana hilo neno kukurupuka unalipenda sana, Hakuna mtu ambae atakuja kuwekeza bila kufanya utafiti wake, By the way kwangu Mimi nilicho kiona ni frusa kwangu, wala sihitaji unibishie kwa kile ninacho kiamini,
Inawezekana kile ninacho kiona ni tofaufi na unacho kiona.
Mimi nilizungumzia Radio (Babati) wewe unasema kuna Radio ya mbulu,
Huoni kwamba hatuelewani?
Nimekutolea mfano na nimekutajia pia kuna Radio Manyara 92.1 na wewe ulivyo muongo unasema eti imefungiwa...labda wewe ndo umeifungia

Napokwambia umekurupuka namaanisha unatoa mrejesho wa ulichokiona sio uhalisia...mimi nimekupa uhalisia wa mji wa Babati

Rudi ukafanye utafiti uje utoe mrejesho wa kiuhalisia sio wa ulichokiona wewe kwako kinafaa kukieka kwenye uzi
 
Back
Top Bottom