MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado maisha yanakuwa niyakuokotaokota tu nakuishi kwa kujibangaiza ila huwezi tanua Hennessy na jackdaniel pale kidimbwi kama wanavyotanua Akina mwijaku na baba LevoKuwa mwalimu kijijini kuna faida kama utajiongeza. Kijijini ardhi ni kubwa, unaweza kupanga nyumba mwaka wa kwanza baada ya hapo unapata kiwanja na kujenga kibanda chako na kuachana kabisa na kulipa kodi.
Unapata shamba, hata ukitumia J’mosi tu kuwa shambani kama una vibarua unaweza kupata mavuno na ukaachana na kununua chakula.
Walimu wa kijijini wengi wana bodaboda na J’mosi huwa wanaendesha wenyewe, hii inakupa uhakika wa hela ya mboga kwa wiki nzima.
Lakini Mwijaku na Baba Levo hawana mafao ya kikokotoo 😂Bado maisha yanakuwa niyakuokotaokota tu nakuishi kwa kujibangaiza ila huwezi tanua Hennessy na jackdaniel pale kidimbwi kama wanavyotanua Akina mwijaku na baba Levo
Etii mafao ,,yaan unapewa 33%ya mafao yako halaf chenji zinazobaki wanaendelea kukulipa kidogokidogoLakini Mwijaku na Baba Levo hawana mafao ya kikokotoo 😂
Hii kitu inauma sana. Namshukuru Mungu kunijalia niwe nafanya tu biashara zangu binafsi. Watumishi wanaonewa.Etii mafao ,,yaan unapewa 33%ya mafao yako halaf chenji zinazobaki wanaendelea kukulipa kidogokidogo
Zamani kikokotoo kilikuwaje?Hii kitu inauma sana. Namshukuru Mungu kunijalia niwe nafanya tu biashara zangu binafsi. Watumishi wanaonewa.
Tatizo sio zamani tatizo kwann watumishi tusiokuwa wanasiasa tulipwe hivi wakati mbunge akimaliza maika yake ya ubunge anapewa Cash zake..Zamani kikokotoo kilikuwaje?
Hakuna anayepewa cash zake tu.Tatizo sio zamani tatizo kwann watumishi tusiokuwa wanasiasa tulipwe hivi wakati mbunge akimaliza maika yake ya ubunge anapewa Cash zake..
Utumishi mgumu Sana labda hasa watumishi wa ngazi kawaida ..Sheria za nchi hii bhana Zina double standard...mwanasiasa anampangia sheria mtumishi wa umma na kumuwekea sheria nyonyoji wakat yeye anakula BataHii kitu inauma sana. Namshukuru Mungu kunijalia niwe nafanya tu biashara zangu binafsi. Watumishi wanaonewa.
you think on the myth that All entreprenuer need is money. Kitakachokuachisha kazi sio kiasi gani cha pesa bali business plan ya ukweli na uhakikaWakuu mm naomba niwaswalike hivi ukipata ela kiasi gani unaweza kuacha kazi ya kuajiriwa?
Kuna wengine waliacha kazi wakat hawana hela ...na Kuna wengine waliacha wakiwa na kianzio Cha msingi ujue tu kwamba unaacha ukiwa na strategic plansWakuu mm naomba niwaswalike hivi ukipata ela kiasi gani unaweza kuacha kazi ya kuajiriwa?
Kuna watu sio waaminifu NECTA kabla ya majina kuteuliwa kuna walimu wanapenyezewa taarifa kituo anachoenda kusahihisha, unabaki unashangaa labda kama wamebadilisha kiongozi wao mambo yanaweza badilikaNachukia sana mada za kitoto kama hizi !!! Kama wenyewe wameridhika wewe kinakuwasha nn!?? Mbona mm nawaona walimu wana. Mijengo ,biashara,na hata kisomeshha watoto wao English median tena na ghali sana kuliko hata watu was kada nyingine tunaojiona tunapiga pesa!??? Niambie ni kada gani nyingine serikalini INA fursa za utajiri!??
Aliyekwamba necta watu wanaenda kwa mchongo nani!??? Unaweza kuthibitisha hill!??? Ndugu acha kuropoka ni hatari!!!wewe subiri kazi. Za maslahi zinakuja
Kwani mwalimu anajipangia mwenyewe pa kwenda kufundisha?ningekuwa mwalimu nisingekuwa mjini,ningeenda vijijini kwenye mashamba yenye rutuba. Mali ningeipata shambani
kwani serikali haina uhamisho?Kwani mwalimu anajipangia mwenyewe pa kwenda kufundisha?
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app