Fursa pekee zinazopatikana kwa mwalimu wa Tanzania

Bado maisha yanakuwa niyakuokotaokota tu nakuishi kwa kujibangaiza ila huwezi tanua Hennessy na jackdaniel pale kidimbwi kama wanavyotanua Akina mwijaku na baba Levo
 
Bado maisha yanakuwa niyakuokotaokota tu nakuishi kwa kujibangaiza ila huwezi tanua Hennessy na jackdaniel pale kidimbwi kama wanavyotanua Akina mwijaku na baba Levo
Lakini Mwijaku na Baba Levo hawana mafao ya kikokotoo 😂
 
Etii mafao ,,yaan unapewa 33%ya mafao yako halaf chenji zinazobaki wanaendelea kukulipa kidogokidogo
Hii kitu inauma sana. Namshukuru Mungu kunijalia niwe nafanya tu biashara zangu binafsi. Watumishi wanaonewa.
 
Zamani kikokotoo kilikuwaje?
Tatizo sio zamani tatizo kwann watumishi tusiokuwa wanasiasa tulipwe hivi wakati mbunge akimaliza maika yake ya ubunge anapewa Cash zake..
 
Tatizo sio zamani tatizo kwann watumishi tusiokuwa wanasiasa tulipwe hivi wakati mbunge akimaliza maika yake ya ubunge anapewa Cash zake..
Hakuna anayepewa cash zake tu.

Kokotoa Makato ya Lazima ya mshahara wako kwa miaka 30 uone kama yatafika hata Milioni 50
 
Ajira siyo sehem ya kupatia utajiri ni sehem ya kutafutia mtaji hata ukifanikiwa kujenga tu kupitia ajira huo ni mtaji usilale tumia hiyo ngazi ya kutokulipa kodi kama sehem ya kujaribu biashara zingine ukifanikiwa wekeza, ukifilisika jipange uanze upya angalau hautaanguka sana utakua na sehem ya kulala jiripue tu Mara kwa mara Kuna sehem utatoboe huwezi kuanguka Mara zote
 
Wakuu mm naomba niwaswalike hivi ukipata ela kiasi gani unaweza kuacha kazi ya kuajiriwa?
 
Hii kitu inauma sana. Namshukuru Mungu kunijalia niwe nafanya tu biashara zangu binafsi. Watumishi wanaonewa.
Utumishi mgumu Sana labda hasa watumishi wa ngazi kawaida ..Sheria za nchi hii bhana Zina double standard...mwanasiasa anampangia sheria mtumishi wa umma na kumuwekea sheria nyonyoji wakat yeye anakula Bata
 
ningekuwa mwalimu nisingekuwa mjini,ningeenda vijijini kwenye mashamba yenye rutuba. Mali ningeipata shambani
 
Wakuu mm naomba niwaswalike hivi ukipata ela kiasi gani unaweza kuacha kazi ya kuajiriwa?
you think on the myth that All entreprenuer need is money. Kitakachokuachisha kazi sio kiasi gani cha pesa bali business plan ya ukweli na uhakika
 
Wakuu mm naomba niwaswalike hivi ukipata ela kiasi gani unaweza kuacha kazi ya kuajiriwa?
Kuna wengine waliacha kazi wakat hawana hela ...na Kuna wengine waliacha wakiwa na kianzio Cha msingi ujue tu kwamba unaacha ukiwa na strategic plans
 
Kuna walimu wanajishgulisha haswa, kwenye ufugaji, kilimo na mambo mengine na wapo vizuri...
 
Kuna watu sio waaminifu NECTA kabla ya majina kuteuliwa kuna walimu wanapenyezewa taarifa kituo anachoenda kusahihisha, unabaki unashangaa labda kama wamebadilisha kiongozi wao mambo yanaweza badilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…