Kwa upande wa wilaya ya singida vijijini je?Mkalama, Nguguti na na Iramba Vitunguu vinakubali san
Huko Sijawahi kukaa zaidi ya kupita tu. Ila haya maeneo ndio hasa huwa wanalimavitunguuKwa upande wa wilaya ya singida vijijini je?
Umetisha mkuuTatizo lenu mmeshakuwa addicted na vinyesi vya dar miji mizuri na misafi mnakuwa na aleji nayo. bila kuvuta harufu ya vinyesi hamjisikii amani kabisa
Santee sanaHuko Sijawahi kukaa zaidi ya kupita tu. Ila haya maeneo ndio hasa huwa wanalimavitunguu
Niulize kuhusu kinampanda ntakujibu...nmeishi miaka 19!Mkuu yawezekana nakujua tujetupeane maujuz pm ya kinampanda
[emoji23] [emoji23] [emoji23]mbona Le mutuz alikuja na dola 500 kutoka marekani na alikaa miaka 30 sasa hivi ni milionea? maisha hayana formula
Naskia dagaa zinalipa sana mikoa hiyoSi mnasema pakame, hapalimiki-unafanya nini tena huko sasa mkuu?? Kinampanda ndio home hapo. Karibu sana. Tarehe 8 nitakuwa hapo
KendeKm tanzania ingekuwa binadam singida itakuwa sijuj kiungo gani??!!!maana pamekaa kichovu sana
Njoo ufanye biashara ya mafuta ya alizetiMkuu nimeamua kurudi bila shuruti baada ya kukaa huku 12 years, pesa ilikuwepo ila imeisha kwenye bata sasa nimeamua kurudi sababu nimeshakuwa muhenga Sana!Nina cash 5mil ndio maana nataka nikimbilie singida maana najua Dar hata mwezi hautaisha nitakuwa nimefulia
Na uchagani viroba na wanaume wa kesnya wanawala wake zenuNaskia dagaa zinalipa sana mikoa hiyo
Hajui tu. One of the 5 fast growing cities in the country at this stageKende
Diaspora unarudi nyumbani bila kujua majibu ya vitu kama hivi, na mtaji wa hela ya kununulia pafyumu milioni 5, unatudharaulisha Diaspora wa ukweli.Wakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi za watu!mfano kwa singida biashara gani ambayo inaweza kuwa inamzunguko mzuri?vp pia kuhusu biashara ya maduka ya nguo? Mtaji ni 5mil pesa zingine tumekula ujana huku huku
Mtaji hata ukiwa mdogo ni Mtaji mshauri Diaspora mwenzako.Diaspora unarudi nyumbani bila kujua majibu ya vitu kama hivi, na mtaji wa hela ya kununulia pafyumu milioni 5, unatudharaulisha Diaspora wa ukweli.
Wewe ulikuwa Diaspora nchi gani?
Somalia au Mozambique?
Sipi hapa ku promote ujinga.Mtaji hata ukiwa mdogo ni Mtaji mshauri Diaspora mwenzako.
Si ndo lengo la uzi kupata ushauri ni wapi aanzie kwa kiasi hicho cha pesaSipi hapa ku promote ujinga.
Angetafuta ushauri kabla ya kwenda Bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aendelee tu kutafuta ushauri.Si ndo lengo la uzi kupata ushauri ni wapi aanzie kwa kiasi hicho cha pesa