Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Mkuu nimeamua kurudi bila shuruti baada ya kukaa huku 12 years, pesa ilikuwepo ila imeisha kwenye bata sasa nimeamua kurudi sababu nimeshakuwa muhenga Sana!Nina cash 5mil ndio maana nataka nikimbilie singida maana najua Dar hata mwezi hautaisha nitakuwa nimefulia
Njoo ufanye biashara ya mafuta ya alizeti
Nenda kijjn nunua alizeti au tafta dalali wa kukutafutia mzigo kisha unaenda kulipia
Changamoto zipo ila hyo million 5 ni kubwa tu pia anza pale msim wa alizeti unapoanza kwa sasa hivi mbegu hamna kijijini
Nakutakia safar njema
 
I can be the one who can make you to be rich but it needs torelance, ukitaka utajiri wa ghafla haupo , you need almost 7months to have nine million in your pocket ,you are welcome kama itakupendeza ,contact 0769112316 nikupatie mchongo ambao by mwezi wa Pili hadi wa NNE utaufanya then baada ya hapo utakuja niambia ,the only issue is that uwe tayari kufanya kazi kijijini au uwe na MTU mzoefu na mtaalam wa kazi hiyo.
 
Muuza simu ulifanikiwa kufanya nini huko kwa watafuna alizeti mrejesho pleas!
 
Naombeni mrejesho kuhusu biashara ya alizeti na fursa zingine Singida
images.jpeg-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi za watu!mfano kwa singida biashara gani ambayo inaweza kuwa inamzunguko mzuri?vp pia kuhusu biashara ya maduka ya nguo? Mtaji ni 5mil pesa zingine tumekula ujana huku huku
Diaspora unarudi nyumbani bila kujua majibu ya vitu kama hivi, na mtaji wa hela ya kununulia pafyumu milioni 5, unatudharaulisha Diaspora wa ukweli.

Wewe ulikuwa Diaspora nchi gani?

Somalia au Mozambique?
 
Diaspora unarudi nyumbani bila kujua majibu ya vitu kama hivi, na mtaji wa hela ya kununulia pafyumu milioni 5, unatudharaulisha Diaspora wa ukweli.

Wewe ulikuwa Diaspora nchi gani?

Somalia au Mozambique?
Mtaji hata ukiwa mdogo ni Mtaji mshauri Diaspora mwenzako.
 
Back
Top Bottom