Yeah jamani hata kanga wanahitaji vibali lakini tunawafuga tuuu...fugeni na mtu akitaka kuwapata aniambie nimpe contacts
Tafadhali nitumie contacts wapi nitapata kware 0753087713
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah jamani hata kanga wanahitaji vibali lakini tunawafuga tuuu...fugeni na mtu akitaka kuwapata aniambie nimpe contacts
hao jamaa hamna kitu kuna jamaaa yangu alitaka mkopo hapo wacha azungushwe.....ikabidi aende I & M wakampa mkopo fasta.....Mkuu ni kweli kabisa hii Nchi ni full maigizo na that is why wenzetu wa East Africa wanatutenga, kuna watu wanashangilia lakini ukweli ni kwamba Bongo kuna Boa sana,
Wanasiasa wanaimba kilimo kwanza but ukweli ni kwamba hakuna kilimo kwanza wala nini, Haiingii akilini huko wizara ya kilimo yenyewe Bajeti do kwanza inatumika kununua V8,
Njoo Wizara ya viwanda ni full Maigizo, vikwazo vya kufanya biashara ni vingi sana,na hakuna anaye jari, mimi huwa inaniuma sana wenzetu wako mbali sana hata tukigundua nini hatuwezi wafikia,
Kinacho Uma zaidi utakuta Benki kama TIB now day sijui inaitwa nini, wanao kopeswa ni watu wenye uwezo mkubwa sana hasa wageni, Wazungu Mfano wa Arusha wanao lima maua wao wanachukua mikopo TB bila shida ishu iko kwa wazawa
Mkuu usikurupuke hata kidogokabla hujaanza kuwafuga JIULIZE UTAWAUZA WAPINaitaji picha za kutosha kujua hawa ndege TZ wanaitwaje
Mkuu usikurupuke hata kidogokabla hujaanza kuwafuga JIULIZE UTAWAUZA WAPI
Kenya watu walikuwa wanafuga kuku ilipokuja hii kitu wakakimbilia huko sasa hivi imekuwa kama deci....kila mtu anao soko hakuna......tambua Kenya na kwingineko wanatamaduni...mila na destuzi tofauti na za kwatu.....kwa kautafiti kidogo nilichofanya....ni kwamba kwa Tanzania sio mayai wala nyama asnaweza akala mtanganyika wa kawaida.....labda ushawishi saana......nyama yake huwezi ukauza baa kama ya kuku...hata ukiwaweka barabarani utapata wateeeja wachache saana.....................ushashauri wangu kwakuwa kuku ndio wamezoeleka hapa Tanganyika......cha msingi ......fuga kuku...kupanda kwa garama za chakula unaweza ukazipunguza kwa asilimia kubwa kwa kutumia hydroponic fodder......na ukifanya hivyo utapata faida kubwa kuliko hao tombo............kila la kheri
Hata mimi nimejaribu kufanya market analysis yake yaani hawakuelewi kabisa. Kwavile tumeelewa medicinal values zake nitakuwa nanunua mayai kula tu au nifuge for family use pamoja na kuku basi.
Ni kweli kabisa mama Joe.....unaweza wafuga ndio lakini kama...uta export...kwa soko la ndani itachukua muda saana.....Kenya kwa wale wafugaji wa mwanzo ndio walifaidika....lakini sasa hivi wafugaji ni wengi... pakuuza hakuna.....kwa Tanzania,,,,ukiwafuga labda uwe na specialized restaurant uwatarget wageni na utakuwa unapata watanzania wachache wenye uelewa.......baada ya muda ndio watazoeleka
Unfortunately,the chicken cartels in Kenya made sure that the Quail never made it's debut in the country.They corrupted the media who tried to completely annihilate the quail and demoralize farmers.However,the tables have now been turned around.This cute diminutive bird is already claiming it's rightful place in the Country.The demand for quail and it's products is growing rapidly and it is expected to hit an all time high by the end of this year.
unachosema Mr Frank ni kweli kabisa..hapa Tz wafugaji tulianza kama wachache Sana lakini sasa hivi baada ya kuipa hii business publicity ya kutosha wafugaji nao wameongezeka Sana na kuzidi kujitengenezea pesa kwa kuendesha biashara hii ya Kware(mayai na nyama) licha ya watu wengi kutisha wenzao kuwa watafungwa.BT ndo ilivyo wale wenye ujasiri tu ndo wanafanikiwa kwenye maisha despite all thé obstacles...tutaenda maredioni hadi kwenye TV tukiwaelimisha watanzania wenzetu faida ya ndege huyu..tumethubutu na tunasonga mbele!!!