FURSA ULIYANKULU TABORA

FURSA ULIYANKULU TABORA

alsam

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
221
Reaction score
308
Aisee habarin Wapamabanaji

Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka, migahawa, gest house yaani full of opportunities na mzunguko wa hela upo sana sijui vijana mnakwama wapi nendeni vijijin kula hela ya kutosha huko na nimepnda zaidi hiki kijiji hakina mambo ya kiswahili.

Vijana acheni kulia lia mjin ingieni chaka kuna fursa za kutosha huko tena ni emerged town ni balaaa
 
Asante kwa kutuonesha fursa.
 
Uswahili ukosekane km 80 ndani huko tena kwa wanyamwezi na wasukuma!
 
Kama ni hapo ninapopajua ilikua kambi ya wakimbizi enzi hizo hela ilikuwepo sana.,., sijui kwa sasa hivi kachangamkie fursa Tanzania hii Ina pesa sana na wabongo wenyewe bado sana.
 
Ndio hapo hapo nimeshangaa Sana jinsi mzunguko wa hela ulivyo pale
 
Hapo

mzunguko ni mkubwa subiri karanga ziive uone maaajabu ya hapo... Komaa harafu hapo sio waswahili ni mchanganyiko wa warundi na wanyarwanda , sukuma na nyamwezi nadhani picha unaliona hapo
 
Hio uliyankulu unaweza kuta watu wengi lakini biashara zisitembee sana .unaweza kuta guest 15000 ya kishua alafu , ngoja tukatebee siku moja tuone
 
Hapo

mzunguko ni mkubwa subiri karanga ziive uone maaajabu ya hapo... Komaa harafu hapo sio waswahili ni mchanganyiko wa warundi na wanyarwanda , sukuma na nyamwezi nadhani picha unaliona hapo
Ni kweli kabisa ni full mix hapa ngoja niendelee kuchunguza zaidi hapa na kuzidi kukata mitaaa na vijiji ni explore fursa zaidi
 
Fursa kuu ya vijijini ni kilimo tu, hakuna kingine. Sasa kama wewe sio mkulima, huko bush kijana wa mjini ukatafute nini?

Tuacheni masihara, fursa kuu za vijana zipo mijini, vijijini HAPANA.
 
Aisee habarin Wapamabanaji

Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka, migahawa, gest house yaani full of opportunities na mzunguko wa hela upo sana sijui vijana mnakwama wapi nendeni vijijin kula hela ya kutosha huko na nimepnda zaidi hiki kijiji hakina mambo ya kiswahili.

Vijana acheni kulia lia mjin ingieni chaka kuna fursa za kutosha huko tena ni emerged town ni balaaa
Ulyankulu chuo cha veta barabara ya 13. Karibu sana mkuu wenyeji tupo
 
Fursa kuu ya vijijini ni kilimo tu, hakuna kingine. Sasa kama wewe sio mkulima, huko bush kijana wa mjini ukatafute nini?

Tuacheni masihara, fursa kuu za vijana zipo mijini, vijijini HAPANA.
Kuna mgodi wa dhahabu pia na kilimo cha tumbaku
 
Tuache kula mbususu za pisi kali hapa daslamu eti twende sijui ulyankulu.
Huko nendeni nyie mafsa kilimo.
 
Fursa kuu ya vijijini ni kilimo tu, hakuna kingine. Sasa kama wewe sio mkulima, huko bush kijana wa mjini ukatafute nini?

Tuacheni masihara, fursa kuu za vijana zipo mijini, vijijini HAPANA.
Sio Bush Kivile ile Inahadh ya Wilaya
Ni sehemu Mojawapo Iliyo Changamka
Ni mji sio Kijiji
Idadi ya Watu waliopo pale Sio hadh ya Kijiji
Kuna Huduma Karibia 80% zipatikanazo Mjini
 
Fursa kuu ya vijijini ni kilimo tu, hakuna kingine. Sasa kama wewe sio mkulima, huko bush kijana wa mjini ukatafute nini?

Tuacheni masihara, fursa kuu za vijana zipo mijini, vijijini HAPANA.
Bado hujafika vijijini,,,
Vijijini wanahitaji vyombo, nguo ,madawa ya hospitali, solar, vitu vyote unavyotumia vya umeme.
Mfano nina kiofisi cha kufunga na kuuza solar yaani full booked kwa upande wa kununua na kuwauzia solar
Hapa kununua ni solar inakuwa na shida ndogo tu unaichukua na hauirekibishi na unainunua kwa pesa ndogo unairekebisha na kuuza kwa gharama ya mpya, huku mteja unamuuzia nzima kwa bei iliyo sokoni na kuzdi!!¡ Wakati huo mkulima anajali bidhaa n hajali lolote mbele wakati huo ofisi mwaka mzima inaingiza kwa kufanya marekebisho na juu ya hayo yote huko upinzani ni mdogo sana. Acha vijana wanaojiweza waende wakatafute pesa bila ushindani mkubwa kwa mitaji midogo
 
Back
Top Bottom