alsam
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 221
- 308
Aisee habarin Wapamabanaji
Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka, migahawa, gest house yaani full of opportunities na mzunguko wa hela upo sana sijui vijana mnakwama wapi nendeni vijijin kula hela ya kutosha huko na nimepnda zaidi hiki kijiji hakina mambo ya kiswahili.
Vijana acheni kulia lia mjin ingieni chaka kuna fursa za kutosha huko tena ni emerged town ni balaaa