kaka9
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 280
- 113
Habari wadau wa Michezo,
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ,kuna fursa ya kwenda kufanyiwa majaribiao mwezi wa tano nchini Croatia kwa wachezaji wazuri wenye kipaji cha mpira kwa umri wa
Miaka 18-25,kama wewe ni mhenga kama mimi hiyo fursa imekupita usidanganye umri,nimewasiliana na
Agent mwenyewe kutoka Croatia wa hiyo team amenihakikishia
Wale maombi yao yatakayo kubaliwa
Kulingana na clip za video watakazo tuma watagharamiwa Ticketi ya ndege,Malazi pamoja na chakula
Wakiwa huko,kama unamfahamu
Mchezaji yoyote mwenye umri huo
Nilio utaja hapo juu na anakipaji kweli mjulishe aje ajaribu bahati yake,Tuwasiliane kwa 0762508455.