Fursa ;Wachezaji Mpira wanahitajika Croatia umri kuanzia 18-25

kaka9

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
280
Reaction score
113
Habari wadau wa Michezo,

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ,kuna fursa ya kwenda kufanyiwa majaribiao mwezi wa tano nchini Croatia kwa wachezaji wazuri wenye kipaji cha mpira kwa umri wa
Miaka 18-25,kama wewe ni mhenga kama mimi hiyo fursa imekupita usidanganye umri,nimewasiliana na
Agent mwenyewe kutoka Croatia wa hiyo team amenihakikishia
Wale maombi yao yatakayo kubaliwa
Kulingana na clip za video watakazo tuma watagharamiwa Ticketi ya ndege,Malazi pamoja na chakula
Wakiwa huko,kama unamfahamu
Mchezaji yoyote mwenye umri huo
Nilio utaja hapo juu na anakipaji kweli mjulishe aje ajaribu bahati yake,Tuwasiliane kwa 0762508455.
 
Kwani izo fursa niza wa bongo tu wa Burundi vp!?mana nina dogo wangu yupo kwa soka ana kipaji!kama vp nielekeze itavokua boss!
 
Fursa ni kwa wachezaji kutoka ulaya na Africa,ndio wanahitajika kufanyiwa majaribio mwezi wa tano kama dogo yuko vizuri ajaribu bahati yake!

Croatia wenyewe njaa inakuwaje?
Habari wadau wa Michezo,

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza ,kuna fursa ya kwenda kufanyiwa majaribiao mwezi wa tano nchini Croatia kwa wachezaji wazuri wenye kipaji cha mpira kwa umri wa
Miaka 18-25,kama wewe ni mhenga kama mimi hiyo fursa imekupita usidanganye umri,nimewasiliana na
Agent mwenyewe kutoka Croatia wa hiyo team amenihakikishia
Wale maombi yao yatakayo kubaliwa
Kulingana na clip za video watakazo tuma watagharamiwa Ticketi ya ndege,Malazi pamoja na chakula
Wakiwa huko,kama unamfahamu
Mchezaji yoyote mwenye umri huo
Nilio utaja hapo juu na anakipaji kweli mjulishe aje ajaribu bahati yake,Tuwasiliane kwa 0762508455.
 
Fursa ni kwa wachezaji kutoka ulaya na Africa,ndio wanahitajika kufanyiwa majaribio mwezi wa tano kama dogo yuko vizuri ajaribu bahati yake!
Nipe maelekezo basi nimfanyie mpango !!
 
Muwadanganye afu mukawaue huko muwabebeshe madawa, muuze figo na viungo vya miili yao aaaah maisha magumu haya acheni kuwadanganya watoto. Kama we wakala fungua ofisi ili wasiporudi huko unakowapeleka tukukamate.
 
Back
Top Bottom