Fursa: Wakati wa kuuza maua UK!

Fursa: Wakati wa kuuza maua UK!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
Wauza maua sasa ni wakati wenu huu ku-export Maua huko Uingereza kufuatia msiba wa Dunia.
NB: Air Tanzania badala ya kupakia waombolezaji wasiolipa nauli, pakia maua tukauze London.
 

Attachments

  • images (27).jpeg
    images (27).jpeg
    8.7 KB · Views: 10
Safiii sana idea nzuri

Kama wao wanavyofaidikaga na machafuko afrika kwa kuuza siraha basi nasisi tufanye vivyo hivyo, tushushe utitili wa maua na mataji huko UK tujenge nchi yetu[emoji23]
 
Badala ya kujaza mapicha kwenyewe profile. Tutumie fursa kupiga pesa
 
Back
Top Bottom