Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hiyo ni demand ya muajiri mkuuKumbe mzee stationary ni kazi za wadada nilikua sijui mkuu
Form Four hamuwataki?Ndugu yangu kabisa mambo, natafuta dada wa kufanya kazi stationery,
Sifa
Awe anajua vizuri computer na kazi zake.
Awe anajua kazi za stationery sio analetewa kazi inamshinda
Eneo la kazi ni ukonga mzambarauni aishi maeneo ya karibu ili iwe rahisi kufika make nafungua kumi na mbili kamili asubuhi.
Elimu form 6 na kuendelea
Muhitaji aniachie namba yake inbox
Ana sifa kama hizo?Form Four hamuwataki?