Fursa ya ajira

Fursa ya ajira

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Ndugu yangu kabisa mambo, natafuta dada wa kufanya kazi stationery,

Sifa
Awe anajua vizuri computer na kazi zake.

Awe anajua kazi za stationery sio analetewa kazi inamshinda

Eneo la kazi ni ukonga mzambarauni aishi maeneo ya karibu ili iwe rahisi kufika make nafungua kumi na mbili kamili asubuhi.

Elimu form 6 na kuendelea

Muhitaji aniachie namba yake inbox
 
Fursa fursa... kina dada wa jf mwenye uzoefu na hii kazi. Una ndugu yako muunganishe. Mwenye duka hili ni mwanamke
 
Ndugu yangu kabisa mambo, natafuta dada wa kufanya kazi stationery,

Sifa
Awe anajua vizuri computer na kazi zake.

Awe anajua kazi za stationery sio analetewa kazi inamshinda

Eneo la kazi ni ukonga mzambarauni aishi maeneo ya karibu ili iwe rahisi kufika make nafungua kumi na mbili kamili asubuhi.

Elimu form 6 na kuendelea

Muhitaji aniachie namba yake inbox
Form Four hamuwataki?
 
Back
Top Bottom