alsam
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 221
- 308
FURSA YA ASALI KWA MTAJI WA CHINI YA 200K .
Kwa kutumia laki na 70 (170,000) utapata yafatayo:-
1#. Pure Asali lita 20.
2#. Free Delivery to Magufuli stand kwa walio Dar.
3#. Free packaging kwenye chupa za lita moja moja.
Lita moja ni Tsh 8500, unaweza kuuza hata kwa elf 12 kwa lita na ukapiga hela haraka chupa
Mchanganuo ni km ifuatavyo.
1. Asali lita 20 ni Tsh 135,000/=
2. Empty Chupa za lita moja ni elf 1 kwa chupa jumla ni elf 20.
3. Usafiri To Dar elf 15 kwa mzigo wote wa chupa 20.
Asali ni natural na haina hata tone moja la maji.
karibuni nyote