Mfano akakopa 500k ni bora akatoe taarifa apatiwe kingine kwa 100k kuliko kulipa Deni .
Sent using Jamii Forums mobile app
500. 000 utanunua Samsung ya wapi mkuu?
unajua vizuri lakini kunadika?
darasa la tatu mwalimu wako wa hesabu atajisikiaje akiona hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana. Ila bado kunashida ndogo ndogo mfano nacte kuanzia form 4 (2008 )
Wanachonga cheti kwa laki moja kama kikipotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya 98% ya idea zote tunazotoka nazo vyuoni huwa zina FLOP vibaya sana FIELD.Habari jf.
Kuna watanzania wengi wana pesa za kutosha na hawajui wawekeze wapi, Jibu ni hili Mtaani kuna graduates wengi wasio na mitaji na wana mawazo mazuri ya kibiashara.
Fursa ni kwako wewe mwenye pesa na hujui ufanye nini wakopeshe vijana kwa riba nafuu na waweke bond (Dhamana) vyeti vyao vya masomo,hakika ni moja biashara nzuri.
Hakika hakuna graduate atakaye kimbia deni na kuacha cheti chake labda kiwe na zero.Lakini pia wewe mkopeshaji si vema kukopesha pesa nyingi napendekeza maximum iwe 500,000/=. Kwa kufanya hivyo tutapunguza threads za watu kuomba kazi na pia tutaongeza wajasiriamali wengi. (Ewe mjasiriamali anzia sokoni).
Wakopeshaji karibuni na graduates pia karibuni
Uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya 98% ya idea zote tunazotoka nazo vyuoni huwa zina FLOP vibaya sana FIELD.
Binafsi nawashauri graduates, acheni kuvimba na hayo makaratasi ujinga ya vyuo. Tafuteni kazi yoyote hata ya kulipwa LAKI MOJA ili mjaribu idea zenu kama ni VALID kabla hamjaweka uwekezaji mkubwa.
Hii ni kama kama hukufanuikiwa kuweka akiba hata kidogo ya BOOM au huna sehemu yoyote ya kupata kianzio.
Habari jf.
Kuna watanzania wengi wana pesa za kutosha na hawajui wawekeze wapi, Jibu ni hili Mtaani kuna graduates wengi wasio na mitaji na wana mawazo mazuri ya kibiashara.
Fursa ni kwako wewe mwenye pesa na hujui ufanye nini wakopeshe vijana kwa riba nafuu na waweke bond (Dhamana) vyeti vyao vya masomo,hakika ni moja biashara nzuri.
Hakika hakuna graduate atakaye kimbia deni na kuacha cheti chake labda kiwe na zero.Lakini pia wewe mkopeshaji si vema kukopesha pesa nyingi napendekeza maximum iwe 500,000/=. Kwa kufanya hivyo tutapunguza threads za watu kuomba kazi na pia tutaongeza wajasiriamali wengi. (Ewe mjasiriamali anzia sokoni).
Wakopeshaji karibuni na graduates pia karibuni
Uzi tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhamana cheti? Serious? Sa mm ukinipa cheti chako afu ukanizima 500k... mm cheti chako kitansaidia nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikukopesha njoo paki gari lako kwangu sepa! Hapo nauhakika wa hela yangu! Lakini eti kadi ya gari?
Kuna mtu anakwambia umkopesha labda laki2. Kwa kuwa una wasiwasi nae unaamua kumpa 50 tu.
Sasa kuilipa hiyo 50 ni hadi mvutane mashati.
Unabaki kujiuliza ningempa laki 2 yote hali ingekuwaje
Sio samsung ni Tecno spark 4 au InfinixYAANI UKILOGWA UKAMKOPESHA MTAJI GRADUATE WA TSH.500.000 KITU CHA KWANZA ATAWAHI SAMSUNG YA 450.000.HIZI NDIZO AKILI ZA HIKI KIZAZI KIPYA CHA NYOKA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nacte au Necta ?Inawezekana. Ila bado kunashida ndogo ndogo mfano nacte kuanzia form 4 (2008 )
Wanachonga cheti kwa laki moja kama kikipotea
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yapo sana.Kuna ndugu yangu alitaka tufanye Business partnership kwa Mm kuweka 2m.... katikati ya mchakato na ikiwa bado sijaweka hata mia, akaniomba nimwazime 100k na kwamba angerudisha baada ya wiki! Nikampa. Mwezi wa 3 huu hapokei simu zng
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wazo lako usiliboreshe kwa kuishauri serikali na taasisi za fedha kuona kwamba ni muhimu sasa kuanza kutambua cheti cha shahada kama dhamana ya kupatia mkopo?Hakuna cheti chenye thamani ya laki tano,lakini ili kumsaidia mtu ambaye hana dhamana kama nyumba etc....Nina imani hakuna graduate ambaye atachezea hiyo golden chance...na mkataba ni muhimu pia
Sent using Jamii Forums mobile app
nakuja mkuu ulishaniwekea laminationMi kuna mmoja huku JF kaniachia cheti chake cha UDOM na pesa hajarudisha. Mkuu ukisoma comment yangu fanya tu uje uchukue cheti chako pesa nimeisamehe kiroho safi
Sent from my iPhone using JamiiForums