Fursa ya biashara kwa mtu mwenye pesa na hajui awekeze wapi

Fursa ya biashara kwa mtu mwenye pesa na hajui awekeze wapi

Habari jf.

Kuna watanzania wengi wana pesa za kutosha na hawajui wawekeze wapi, Jibu ni hili Mtaani kuna graduates wengi wasio na mitaji na wana mawazo mazuri ya kibiashara.

Fursa ni kwako wewe mwenye pesa na hujui ufanye nini wakopeshe vijana kwa riba nafuu na waweke bond (Dhamana) vyeti vyao vya masomo,hakika ni moja biashara nzuri.

Hakika hakuna graduate atakaye kimbia deni na kuacha cheti chake labda kiwe na zero.Lakini pia wewe mkopeshaji si vema kukopesha pesa nyingi napendekeza maximum iwe 500,000/=. Kwa kufanya hivyo tutapunguza threads za watu kuomba kazi na pia tutaongeza wajasiriamali wengi. (Ewe mjasiriamali anzia sokoni).

Wakopeshaji karibuni na graduates pia karibuni

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Zaidi ya 98% ya idea zote tunazotoka nazo vyuoni huwa zina FLOP vibaya sana FIELD.

Binafsi nawashauri graduates, acheni kuvimba na hayo makaratasi ujinga ya vyuo. Tafuteni kazi yoyote hata ya kulipwa LAKI MOJA ili mjaribu idea zenu kama ni VALID kabla hamjaweka uwekezaji mkubwa.

Hii ni kama kama hukufanuikiwa kuweka akiba hata kidogo ya BOOM au huna sehemu yoyote ya kupata kianzio.
 
Ushauri mzuri huu

Sasa kama yeye kasoma vyeti havina maana ukiwekewa bond vitakusaidia nn akishindwa kulipa
Habari jf.

Kuna watanzania wengi wana pesa za kutosha na hawajui wawekeze wapi, Jibu ni hili Mtaani kuna graduates wengi wasio na mitaji na wana mawazo mazuri ya kibiashara.

Fursa ni kwako wewe mwenye pesa na hujui ufanye nini wakopeshe vijana kwa riba nafuu na waweke bond (Dhamana) vyeti vyao vya masomo,hakika ni moja biashara nzuri.

Hakika hakuna graduate atakaye kimbia deni na kuacha cheti chake labda kiwe na zero.Lakini pia wewe mkopeshaji si vema kukopesha pesa nyingi napendekeza maximum iwe 500,000/=. Kwa kufanya hivyo tutapunguza threads za watu kuomba kazi na pia tutaongeza wajasiriamali wengi. (Ewe mjasiriamali anzia sokoni).

Wakopeshaji karibuni na graduates pia karibuni

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ndugu yangu alitaka tufanye Business partnership kwa Mm kuweka 2m.... katikati ya mchakato na ikiwa bado sijaweka hata mia, akaniomba nimwazime 100k na kwamba angerudisha baada ya wiki! Nikampa. Mwezi wa 3 huu hapokei simu zng
Kuna mtu anakwambia umkopesha labda laki2. Kwa kuwa una wasiwasi nae unaamua kumpa 50 tu.
Sasa kuilipa hiyo 50 ni hadi mvutane mashati.
Unabaki kujiuliza ningempa laki 2 yote hali ingekuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ndugu yangu alitaka tufanye Business partnership kwa Mm kuweka 2m.... katikati ya mchakato na ikiwa bado sijaweka hata mia, akaniomba nimwazime 100k na kwamba angerudisha baada ya wiki! Nikampa. Mwezi wa 3 huu hapokei simu zng

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yapo sana.

Ndugu akihitaji hela mpe tu ila usiweke mategemeo kwamba atakurudishia
 
Hakuna cheti chenye thamani ya laki tano,lakini ili kumsaidia mtu ambaye hana dhamana kama nyumba etc....Nina imani hakuna graduate ambaye atachezea hiyo golden chance...na mkataba ni muhimu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wazo lako usiliboreshe kwa kuishauri serikali na taasisi za fedha kuona kwamba ni muhimu sasa kuanza kutambua cheti cha shahada kama dhamana ya kupatia mkopo?

Huenda serikali au Taasisi za Fedha zikitambua vyeti kama dhamana ya mkopo hata wakopeshaji binafsi watakuwa na ujasiri wa kutekeleza hayo uliyoshauri na wahitimu wataona ufahari wa vyeti vyao

Lakini kwa ilivyosasa, mfano unikoposhe million moja, halafu baada ya mwaka mmoja hiyo project/biashara niliyoanzisha ikastawi vizuri kiasi cha kuniingizia kipato kwa mwezi zaidi ya baadhi ya waajiliwa wa fani na elimu yangu, halafu nikaamua tu kukwambia dhamana yangu niliyoweka we kaa nayo tu sioni sababu ya kuitaka tena. Utanilaumu? Kwa maana mtu huchukua kitu kama dhamana anachoona kina thamani sawa au inayoelekea kuwa sawa na alichokukopesha hivyo hata usiporejesha hataumia zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kuna mmoja huku JF kaniachia cheti chake cha UDOM na pesa hajarudisha. Mkuu ukisoma comment yangu fanya tu uje uchukue cheti chako pesa nimeisamehe kiroho safi

Sent from my iPhone using JamiiForums
nakuja mkuu ulishaniwekea lamination
 
Back
Top Bottom