Fursa ya biashara kwenye mafuta ya alizeti

Fursa ya biashara kwenye mafuta ya alizeti

Maeneo ya Dodoma 5lts yanauzwa 14,000-15,000. Ukitaka kuona faida ya hii biashara nunua alizeti ukamue mafuta mwenyewe ndio uyauze.
 
Maeneo ya Dodoma 5lts yanauzwa 14,000-15,000. Ukitaka kuona faida ya hii biashara nunua alizeti ukamue mafuta mwenyewe ndio uyauze.

wazo zuri pia mkuu nitalifanyia kazi ..!!! ila kuna mwingine pia kanijuza kuwa kule iramba ndani ndani wanauza 10000 kwa lt 5
 
Wakikusaidia wanisaidie na mm dawa ya kutoa ile harufu kwenye mafuta ayo ya alzeti
Mafuta yenye Harufu niyale yanayokamuliwa kienyeji huwa hayachomwi lkn yanayochomwa hayana Harufu
 
KUNA Nembo kama 6 Za mafuta! watz achana nao utaliwa mwanza mafuta safi 5 lita ni 14'000! biashara uwazi tunafanya Research.. kwanza-njoo mwanza
 
Maeneo ya Dodoma 5lts yanauzwa 14,000-15,000. Ukitaka kuona faida ya hii biashara nunua alizeti ukamue mafuta mwenyewe ndio uyauze.
Hivi...Gunia la 100kg ukikamua unaweza kupata ltr ngapi
 
Maeneo ya Dodoma 5lts yanauzwa 14,000-15,000. Ukitaka kuona faida ya hii biashara nunua alizeti ukamue mafuta mwenyewe ndio uyauze.
Je atakamua kwa mashine zipi au mashine za kukamua mafuta ni sawa na zile za kusaga unga wa mahindi katika kuruhusu watu

pia vipi changamoto za uandaaji wake
 
Wakuu nipo Dar, nisaidieni gharama ya mashine ya kukamua alizeti faida zake na changamoto.
 
Wakuu nataka nifungue kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti, we nye uelewa na hii biashara naomba msaada wenu. 1. Bei ya mbegu za alizeti kwa kilo moja.
2. Mafuta kiasi gani kwa lita yanayopatikana toka kilo moja ya mbegu.
3 .bei ya lita moja ya mafuta sh ngapi.
 
Tafuta watu waliopo Singida watakusaidia kila kitu
 
Would like to start a small sunflower oil processing factory in kilimanjaro, can any one with experience in this field help me where to start .
I intend to process about 500litrs of oil a day I will really apreciate your advice.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom