Fursa ya biashara kwenye mafuta ya alizeti

Kuna moja imepelekwa CHATO juzi inazalisha lita 700 kwa siku.Waulize pale ubalozi wa japan ndo walitoa msaada huo.Au nenda Veta au sido mkuu

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu mashine nimepata ila nilitaka nishayakamua niweze kupack, 1lt na 5ltrs ila naomba msaada hpo kwenye kupack hawa tbs nitanzia wapi.
Pili ningependa mtu mtu ambaye ana experience na hii kazi a nijulishe 1. ntapata lt ngapi toka kwenye gunia moja ya debe sita. 2. Mashudu ni kiasi gani gunia ya debe 6.
3.Bei ya dar kwa sasa.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Kama unayo mashine basi huo mwanzo mzuri mkuu.

Nina uzoefu kidogo katika hili.

Gunia moja la debe sita kwa alizeti iliyokomaa vyema tegemea Lita 20 za mafuta.

Na kwenye mashudu kuna debe 5 za mashudu baada ya kukamua gunia moja mkuu.

Ukishapack kwenye Lita 5 kwa dar sasa bei imesimama kwenye elfu 22 kama package yako itakuwa na label ya tbs.
 
Hakikisha alizeti yako kabla hujakamua iwe imekauka vizuri.
 
Kweli mkuu mashine nimepata ila nilitaka nishayakamua niweze kupack, 1lt na 5ltrs ila naomba msaada hpo kwenye kupack hawa tbs nitanzia wapi.
Pili ningependa mtu mtu ambaye ana experience na hii kazi a nijulishe 1. ntapata lt ngapi toka kwenye gunia moja ya debe sita. 2. Mashudu ni kiasi gani gunia ya debe 6.
3.Bei ya dar kwa sasa.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Mkuu, hebu fanya swala moja la msingi, nenda kwenye kiwanda chochote cha hii bidhaa, "KINACHO ENDESHWA KISASA" omba kuhusu dhumun lako,, watakukutanisha na production manager atakujibu yote hayo
 
Kweli mkuu mashine nimepata ila nilitaka nishayakamua niweze kupack, 1lt na 5ltrs ila naomba msaada hpo kwenye kupack hawa tbs nitanzia wapi.
Pili ningependa mtu mtu ambaye ana experience na hii kazi a nijulishe 1. ntapata lt ngapi toka kwenye gunia moja ya debe sita. 2. Mashudu ni kiasi gani gunia ya debe 6.
3.Bei ya dar kwa sasa.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Mkuu mashine umepata wapi?Na mimi ninahitaji mashine ya kukamua mafuta ya alizeti ukinipa contacts za huko ulikopata hiyo mashine utakuwa umenisaidia sana mkuu

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu mashine nimepata ila nilitaka nishayakamua niweze kupack, 1lt na 5ltrs ila naomba msaada hpo kwenye kupack hawa tbs nitanzia wapi.
Pili ningependa mtu mtu ambaye ana experience na hii kazi a nijulishe 1. ntapata lt ngapi toka kwenye gunia moja ya debe sita. 2. Mashudu ni kiasi gani gunia ya debe 6.
3.Bei ya dar kwa sasa.

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Zinapatikana wapi ná bei pia naomba kujua

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wakuu nataka nifungue kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti, we nye uelewa na hii biashara naomba msaada wenu. 1. Bei ya mbegu za alizeti kwa kilo moja.
2. Mafuta kiasi gani kwa lita yanayopatikana toka kilo moja ya mbegu.
3 .bei ya lita moja ya mafuta sh ngapi.
Gunia moja lenye debe nani kilo 80 linatoa lita 23 pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unayo mashine basi huo mwanzo mzuri mkuu.

Nina uzoefu kidogo katika hili.

Gunia moja la debe sita kwa alizeti iliyokomaa vyema tegemea Lita 20 za mafuta.

Na kwenye mashudu kuna debe 5 za mashudu baada ya kukamua gunia moja mkuu.

Ukishapack kwenye Lita 5 kwa dar sasa bei imesimama kwenye elfu 22 kama package yako itakuwa na label ya tbs.
Samahani mkuu,ningependa kuuliza kwakua uko na uzoefu kwenye swala hili.

Mimi nataka kuanza biashara hii ya kusafirisha mafuta ya alizet kutoka singida kuja dar na kuuza mwenywe kwa jumla na rejareja.
kwaio ningependa kujua bei kwa sasa inasimama ngap kwa jumla na rejareja.asante

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom