Maeneo ya Dodoma 5lts yanauzwa 14,000-15,000. Ukitaka kuona faida ya hii biashara nunua alizeti ukamue mafuta mwenyewe ndio uyauze.
duuh itabid nirudi kucheck nisiwe nilinunua vya wiziwazo zuri pia mkuu nitalifanyia kazi ..!!! ila kuna mwingine pia kanijuza kuwa kule iramba ndani ndani wanauza 10000 kwa lt 5
Nimesikiakuna jamaa yangu naye anataka kuanza hii biashara kwa kwenda kununua Singida galoni za ujazo wa lita 5, aliniambia bei ya kiwandani Singida kwa galoni ya lita 5 ni shilingi 12000.
0788223222Tafadhari tuma namba yako ya simu tuweze kuwasiliana.
Niko Babati ni mjasiria mali nina kiwanda cha kukamua alizeti!!
0755764394
0782023919
0752561552
Ubarikiwe!!
Usijali mkuu kuwa na amani.ahsante mkuu...mambo akiwa tayari nitakujuza nadhani next week....ila sitaanza na mzigo mkubwa sana si unajua ndo first mkuu
Mafuta yenye Harufu niyale yanayokamuliwa kienyeji huwa hayachomwi lkn yanayochomwa hayana HarufuWakikusaidia wanisaidie na mm dawa ya kutoa ile harufu kwenye mafuta ayo ya alzeti
Galoni la Lita 3 nimenunua kwa elfu 13 hapa DarDuuh mtaani mafuta ni 14000 sasa sijui utanunua kwa bei gani
KUNA Nembo kama 6 Za mafuta! watz achana nao utaliwa mwanza mafuta safi 5 lita ni 14'000! biashara uwazi tunafanya Research.. kwanza-njoo mwanza
Hivi...Gunia la 100kg ukikamua unaweza kupata ltr ngapiMaeneo ya Dodoma 5lts yanauzwa 14,000-15,000. Ukitaka kuona faida ya hii biashara nunua alizeti ukamue mafuta mwenyewe ndio uyauze.
Hivi...Gunia la 100kg ukikamua unaweza kupata ltr ngapi
Je atakamua kwa mashine zipi au mashine za kukamua mafuta ni sawa na zile za kusaga unga wa mahindi katika kuruhusu watuMaeneo ya Dodoma 5lts yanauzwa 14,000-15,000. Ukitaka kuona faida ya hii biashara nunua alizeti ukamue mafuta mwenyewe ndio uyauze.
Nawezaje kukamua mwenyewe naomba nisaidieMaeneo ya Dodoma 5lts yanauzwa 14,000-15,000. Ukitaka kuona faida ya hii biashara nunua alizeti ukamue mafuta mwenyewe ndio uyauze.