Ni sawa kabisa mkuu, vipi mashine umeshafanikiwa kuwa nayo?700litres hizo ni dumu za lita 20 kama 35 kiwanda cha mtu wa kawaida kabisa
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Kama unayo mashine basi huo mwanzo mzuri mkuu.Kweli mkuu mashine nimepata ila nilitaka nishayakamua niweze kupack, 1lt na 5ltrs ila naomba msaada hpo kwenye kupack hawa tbs nitanzia wapi.
Pili ningependa mtu mtu ambaye ana experience na hii kazi a nijulishe 1. ntapata lt ngapi toka kwenye gunia moja ya debe sita. 2. Mashudu ni kiasi gani gunia ya debe 6.
3.Bei ya dar kwa sasa.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
SIDO watakusaidia katika hilo mkuu baada ya kukutembelea na kuona unavyoendesha kazi yako ya uzalishaji katika firm yako
Mkuu, hebu fanya swala moja la msingi, nenda kwenye kiwanda chochote cha hii bidhaa, "KINACHO ENDESHWA KISASA" omba kuhusu dhumun lako,, watakukutanisha na production manager atakujibu yote hayoKweli mkuu mashine nimepata ila nilitaka nishayakamua niweze kupack, 1lt na 5ltrs ila naomba msaada hpo kwenye kupack hawa tbs nitanzia wapi.
Pili ningependa mtu mtu ambaye ana experience na hii kazi a nijulishe 1. ntapata lt ngapi toka kwenye gunia moja ya debe sita. 2. Mashudu ni kiasi gani gunia ya debe 6.
3.Bei ya dar kwa sasa.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Mkuu mashine umepata wapi?Na mimi ninahitaji mashine ya kukamua mafuta ya alizeti ukinipa contacts za huko ulikopata hiyo mashine utakuwa umenisaidia sana mkuuKweli mkuu mashine nimepata ila nilitaka nishayakamua niweze kupack, 1lt na 5ltrs ila naomba msaada hpo kwenye kupack hawa tbs nitanzia wapi.
Pili ningependa mtu mtu ambaye ana experience na hii kazi a nijulishe 1. ntapata lt ngapi toka kwenye gunia moja ya debe sita. 2. Mashudu ni kiasi gani gunia ya debe 6.
3.Bei ya dar kwa sasa.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Zinapatikana wapi ná bei pia naomba kujuaKweli mkuu mashine nimepata ila nilitaka nishayakamua niweze kupack, 1lt na 5ltrs ila naomba msaada hpo kwenye kupack hawa tbs nitanzia wapi.
Pili ningependa mtu mtu ambaye ana experience na hii kazi a nijulishe 1. ntapata lt ngapi toka kwenye gunia moja ya debe sita. 2. Mashudu ni kiasi gani gunia ya debe 6.
3.Bei ya dar kwa sasa.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Nauza alizeti gunia 80,000 karibuWould like to start a small sunflower oil processing factory in kilimanjaro, can any one with experience in this field help me where to start .
I intend to process about 500litrs of oil a day I will really apreciate your advice.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Gunia moja lenye debe nani kilo 80 linatoa lita 23 pekeeWakuu nataka nifungue kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti, we nye uelewa na hii biashara naomba msaada wenu. 1. Bei ya mbegu za alizeti kwa kilo moja.
2. Mafuta kiasi gani kwa lita yanayopatikana toka kilo moja ya mbegu.
3 .bei ya lita moja ya mafuta sh ngapi.
Mkuu hiyo bei vipi? Sasa sokoni alizeti gunia la debe 6 bei (42,000/- mpaka 45,000/-) kwa DodomaNauza alizeti gunia 80,000 karibu
Samahani mkuu,ningependa kuuliza kwakua uko na uzoefu kwenye swala hili.Kama unayo mashine basi huo mwanzo mzuri mkuu.
Nina uzoefu kidogo katika hili.
Gunia moja la debe sita kwa alizeti iliyokomaa vyema tegemea Lita 20 za mafuta.
Na kwenye mashudu kuna debe 5 za mashudu baada ya kukamua gunia moja mkuu.
Ukishapack kwenye Lita 5 kwa dar sasa bei imesimama kwenye elfu 22 kama package yako itakuwa na label ya tbs.