Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

Kuwa makini unapotaka kudeal na mtu katika masuala ya biashara. Fanya utafiti zaidi wa soko na umfahamu vyema unaetaka kufanya nae muungano wa kikazi au kukusaidia.

Natoa angalizo tu ili tuende sawa, na kwa mafanikio.
MKUU,
UMEJITAHIDI KUTUMIA TAFSIDA SANA NA PENGINE WANAWEZA WASIKUELEWE VEMA-

KWA KIFUPI TU KWENYE HUU UZI WAKIINGIA KICHWAKICHWA 'WATAPIGWA' WATU VIBAYA SANA ZAIDI YA KILE KIPIGO CHA YULE JAMAA WA FOREX KILE!!!

NI ANGALIZO TU,
ILA TUENDELEE KUZIFUATILIA FURSA WAKUU.

"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
 
Mkuu nikitaka kufanya biashara ya mbao ndani humu kwanza natakiwa niwe na capital sh ngp mzee??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iyo nmeitolea mfano tu mkuu inaweza kuwa bidhaa yeyote labda unga au mchele ivi. Nikifika kule naanzaje kuuza? Yani kunakuwa na soko kabisa maalumu au utauza tu kwa bei ya jumla kwa wafanya biashara wa kule

Sent using Jamii Forums mobile app
utachagua mwenyewe bidhaa yako uuzaje kama kwa jumla ana reja reja ila nashaur kama unataka kuiza kwa jumla bas usifanye biashara za machinga fanya biashara kwa odda ..nenda Kule kusanya oda zako zifanyie kaz yan kila ukipelka mzigo unakusanya odda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huu uzi hakuna mahali ulipoelzea kuna deal la biashara ..huu uzi umeelezea fursa zilizopo comoro tu soma vizur tafadhal kama watatokea wajuaji wakaamua kupiga wenzio shaur yao couse uzi umeeleza fursa ivo kila mmoja kuingia kazn kutafuta soko kwanza sio kufanya biashara mana kuna watu hawajielew wanapewa fursa badala ya kutafuta soko wao wanataka waanze na biashara moja kwa moja ilo ndo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Popote pale penye Jambo la fursa kama hili, Wapo watu Ambao hutumia fursa hiyo hiyo kuwapiga wenzao Pesa kiutapeli, Kueni Makini saanaa. Hali Ni ngumu saanaa!!
wanaoangaika kutafuta connection ndio wanaopigwa jaman hii ni fursa tu nimetoa kaz kwako kutafuta masoko ...lakn watu wakishapewa fursa bas wao wanataka kuanza biashara pasi kwenda kutafuta masoko ya iyo fursa kuwen makin sana sana Sisi watz ndio tunaoangushana uko ungenini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watakupokea vizur tu hawana ubaguz hata chembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo mtu anafahamu kuongea kiswahili?

Sent using Jamii Forums mobile app
natoa angalizo wanaupigwa ni wale wanaoangaika kutafuta connection naomba muwe makin nimetoa fursa ingia sokon tafuta masoko asitafute connection ya mtu watz kule tunaongoza kuingizana machakan kama unaenda ubalozin bas nenda watakusaidia ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikitaka kufanya biashara ya mbao ndani humu kwanza natakiwa niwe na capital sh ngp mzee??

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa mbao inategemea umejipanga kufanya ipi..,kuna kutoa shambani (mfano vijiji vya Makete,Lupembe na kupeleka soko la kawaida kama Njombe mjini au Makambako Mtaji wa kuanzia na mil 5 unatosha tu..,Kuna ile ya kutoa Makambako,Njombe au Mafinga na kupeleka masoko makubwa kama Dar,Arusha au Mwanza mtaji wake usipungue mil 20
 
Asante sana nimepata mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitafute mkuu 0736670680

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu packaged goods (yaani processed vitu kama garlic, chillies na vingine?)
 
Watu hawajuagi tu wanakuwa wachoyo kuwapa ramani wenzao bila kujua wema ni akiba kesho keshokutwa umekwama unajua nikimwendea Fulani napata Mimi nampenda sana mtu anayenipa wazo la biashara kuliko anayenipa pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…