flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MKUU,Kuwa makini unapotaka kudeal na mtu katika masuala ya biashara. Fanya utafiti zaidi wa soko na umfahamu vyema unaetaka kufanya nae muungano wa kikazi au kukusaidia.
Natoa angalizo tu ili tuende sawa, na kwa mafanikio.
Iyo nmeitolea mfano tu mkuu inaweza kuwa bidhaa yeyote labda unga au mchele ivi. Nikifika kule naanzaje kuuza? Yani kunakuwa na soko kabisa maalumu au utauza tu kwa bei ya jumla kwa wafanya biashara wa kule
Mkuu nikitaka kufanya biashara ya mbao ndani humu kwanza natakiwa niwe na capital sh ngp mzee??Mwenye uzi kaweka bayana kuwa fursa ni nyingi na soko ni la uhakika ukitoa changamoto ndogo ndogo kama kodi,viza n.k ambazo haziwezi kumkwamisha mfanyabiashara mwenye malengo..,So Changamoto kubwa aliyoianisha hapa ni USAFIRI.., wapo Wafanyabiashara wa Tanzania wenye nia ya dhati(seriously) tuunganishe nguvu yetu kwa pamoja tuweze kodi meli na kupeleka bidhaa..,binafsi natoka Njombe nadili na uuzaji wa mbao.Nna tafuta sana soko la mbao,ambao niliona uzi mmoja humu unasema soko kule ni kubwa..,
Hivyo kama tupo tayari tujadili ni kwa namna gani tuungane na kukodi meli ya kutufikisha sokoni
utachagua mwenyewe bidhaa yako uuzaje kama kwa jumla ana reja reja ila nashaur kama unataka kuiza kwa jumla bas usifanye biashara za machinga fanya biashara kwa odda ..nenda Kule kusanya oda zako zifanyie kaz yan kila ukipelka mzigo unakusanya oddaIyo nmeitolea mfano tu mkuu inaweza kuwa bidhaa yeyote labda unga au mchele ivi. Nikifika kule naanzaje kuuza? Yani kunakuwa na soko kabisa maalumu au utauza tu kwa bei ya jumla kwa wafanya biashara wa kule
Sent using Jamii Forums mobile app
huu uzi hakuna mahali ulipoelzea kuna deal la biashara ..huu uzi umeelezea fursa zilizopo comoro tu soma vizur tafadhal kama watatokea wajuaji wakaamua kupiga wenzio shaur yao couse uzi umeeleza fursa ivo kila mmoja kuingia kazn kutafuta soko kwanza sio kufanya biashara mana kuna watu hawajielew wanapewa fursa badala ya kutafuta soko wao wanataka waanze na biashara moja kwa moja ilo ndo tatizoMKUU,
UMEJITAHIDI KUTUMIA TAFSIDA SANA NA PENGINE WANAWEZA WASIKUELEWE VEMA-
KWA KIFUPI TU KWENYE HUU UZI WAKIINGIA KICHWAKICHWA 'WATAPIGWA' WATU VIBAYA SANA ZAIDI YA KILE KIPIGO CHA YULE JAMAA WA FOREX KILE!!!
NI ANGALIZO TU,
ILA TUENDELEE KUZIFUATILIA FURSA WAKUU.
"ILA MAISHA LAZIMA YAENDELEE."
wanaoangaika kutafuta connection ndio wanaopigwa jaman hii ni fursa tu nimetoa kaz kwako kutafuta masoko ...lakn watu wakishapewa fursa bas wao wanataka kuanza biashara pasi kwenda kutafuta masoko ya iyo fursa kuwen makin sana sana Sisi watz ndio tunaoangushana uko ungeniniPopote pale penye Jambo la fursa kama hili, Wapo watu Ambao hutumia fursa hiyo hiyo kuwapiga wenzao Pesa kiutapeli, Kueni Makini saanaa. Hali Ni ngumu saanaa!!
watakupokea vizur tu hawana ubaguz hata chembeHivi hawa jamaa wanatoa first priority yeyote kwa watz hii ikiwa na maana kwamba tumewasaidia kwenye uhuru wao kwa kupeleka majeshi yetu na tukatwanga kiustadi namaanisha kunapride yeyote kwao nikijitambulisha mimi ni mTz ?
Sent from my using Tapatalk
natoa angalizo wanaupigwa ni wale wanaoangaika kutafuta connection naomba muwe makin nimetoa fursa ingia sokon tafuta masoko asitafute connection ya mtu watz kule tunaongoza kuingizana machakan kama unaenda ubalozin bas nenda watakusaidia ...
Mkuu nikitaka kufanya biashara ya mbao ndani humu kwanza natakiwa niwe na capital sh ngp mzee??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana nimepata mwangaKwa mbao inategemea umejipanga kufanya ipi..,kuna kutoa shambani (mfano vijiji vya Makete,Lupembe na kupeleka soko la kawaida kama Njombe mjini au Makambako Mtaji wa kuanzia na mil 5 unatosha tu..,Kuna ile ya kutoa Makambako,Njombe au Mafinga na kupeleka masoko makubwa kama Dar,Arusha au Mwanza mtaji wake usipungue mil 20
nitafute mkuu 0736670680Mwenye uzi kaweka bayana kuwa fursa ni nyingi na soko ni la uhakika ukitoa changamoto ndogo ndogo kama kodi,viza n.k ambazo haziwezi kumkwamisha mfanyabiashara mwenye malengo..,So Changamoto kubwa aliyoianisha hapa ni USAFIRI.., wapo Wafanyabiashara wa Tanzania wenye nia ya dhati(seriously) tuunganishe nguvu yetu kwa pamoja tuweze kodi meli na kupeleka bidhaa..,binafsi natoka Njombe nadili na uuzaji wa mbao.Nna tafuta sana soko la mbao,ambao niliona uzi mmoja humu unasema soko kule ni kubwa..,
Hivyo kama tupo tayari tujadili ni kwa namna gani tuungane na kukodi meli ya kutufikisha sokoni
Vipi kuhusu packaged goods (yaani processed vitu kama garlic, chillies na vingine?)Mimi ni mfanyabiashara Tanzania na Comoro. Nilianza mwaka jana lakini mafaniko ni makubwa kwan kuna fursa nyingi sana sababu visiwa vya Comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje..
Hivyo hupelekea kuwa na mahitaji kubwa ya hasa vyakula lakini changamoto hasa inayopelekea biashara ya Comoro kusua sua ni usafirishaji lakini fursa ni nyingi sana pia changamoto nyingne ni mmoja hasa kwa Watanzania hamna umoja kabisa wa kibiashara kwan hata kwenye upende wa usafirishaji Wacomoro ndio wanakodi meli tena hapa Tanzania na kijipatia pesa nzuri sana
Wakati tunauwezo wa kujikusanya wafanya biashara na kukodi chombo tutafanya supply kwa wakati sababu kuna kipindi Comoro nzima haina kitunguu ama vinywaj kama juice sababu tu hamna meli za kwenda...lakini fursa ni nying sana
Iliki inaishia msimuMkuu fanya kunieka apo na mimi japo silimi iliki naweza kuwa na mtaji..
Sent using Jamii Forums mobile app
Meli kweli, au jahazi??Zanzibar ipo meli inafanya safari za Comoro kwa wiki mara moja husafiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawajuagi tu wanakuwa wachoyo kuwapa ramani wenzao bila kujua wema ni akiba kesho keshokutwa umekwama unajua nikimwendea Fulani napata Mimi nampenda sana mtu anayenipa wazo la biashara kuliko anayenipa pesanina mwaka sasa mkuu tang nianze safar za uko ..pia nitakuwa wa kwanza kushare fursa na wenzang mana watz wanaofanya biashara comor o hawatoi ushirikiano ...mm kinachoniuma ni kuona mcomoro anakuja kununua apple tz wakat kuna kijana wa tz anaweza kupeleka comoro wakazinunulia uko nas tukafaidika mara 2
Sent using Jamii Forums mobile app