Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

Mimi ningepata mkomoro tuwe tunamalizana nae kibiashara...awe anakuja kubeba huku mimi namkusanyia nampa bila bei ya usafiri...sitaki safari zisizo na uhakika za majini.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
akishafika uku my dear hatataka umuuzie na yy ataenda kwenye source mwenyewe akanunue ..mfano halisi ng'ombe wacomoro wanaenda wenyewe mapaka minadan vijijin uko itakuwa hapo k/koo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini serikali isifuatilie hizi fursa ,inazubaaa wakati fursa zimeonekana.. serikali ingefacilitate hii movement ya goods,labda huku kungekua na ka kampuni ambacho kwa wachuuzi wa huku wanaweza kuwa first contact/access ambapo wangepata information zote kuhusu kusafirishe pengine hii kampuni ipelekewe vitu kutoka kwa wafanya biashara au wakulima,pia huko Commoro kuwe na Mtu wa hii kampuni anayepokea goods kutoka Tanzania..mbona sio kazi?
 
Mkuu nashukuru sana kwa maelezo yako. Mimi nataka nifanye biashara ya nyama kwani wacomoro wananunua nyama zaidi Brazil. Nafikiri logistics za hapa TZ na Comoros ni nyepesi kuliko Brazil. Please kama hutojali naomba ufafanuzi kidogo namna ya kulifikia soko la nyama.
mzee baba usijiloge kupeleka nyama Comoro,peleka wanyama hai,wale ni waislamu wanata kuchinja wenyewe.
 
Habari wakuu, kama nilivyoahidi, na kaa mtu wenye kutimiza ahadi, nimefanya research, nafikiri inaitwa utafiti na swahili kuhusu biashara hapo comoros na hii ndio ukweli,comoros kwa mijibu wa idara yao ya biashara, hawajakua na statics za 2018, lakini wako na za 2017, na hii ndio mambo yalivyo,comoros mwaka wa 2017 iliingiza nchini bidhaa zenye thamani ya dollar 295 million za marekani,Na kati ya bidhaa hizo asilimia 30% zilitoka tanzania, Nataka nitaje zile vitu wanacomoro waliingiza kwao toka tanzania, RICE,SUGAR,POUTY MEAT AND PRODUCTS,WHEAT AND ITS PRODUCTS, FISH,CEMENT,( yaani sukari, cementi, unga ngano na vitu zake, samaki kuku na bidhaa zake na mafuta ya kula) katika hio mwaka wa 2017, comoros iliingiza bidhaa za dollar million $87 toka hapa kwetu tz, na nafikiri statistics za 2018 nikizipata nitaweka na lazima zitakuwa zimepita hio ya $87m us dollars, La muhimu na zuri zaidi ni kuwa comoros ni COMESA MEMBER( najua wengi munajua maana ya comesa) kwahivyo ni advantage kubwa sana kwa sisi watz,Na huhitaji capital kubwa kufanya biashara na comoos tho kuna logistics issues but hio can be dealt with, ukiwa na mtaji wa kuanzia $5-10,000 yaani dola za marekani kati ya 3-10,000 uko sawa kabisa,mimi weyewe sifanyi biashara na comoros, lakini naweza aza later this year on a much larger scale, lakini kaa kuna mtu anahitaji either maelezo zaidi, musaada au lolote kuhusu hapo comoros, jisikie huru to inbox me, have a very blessed weekend
You sound very tasteful....though iam hesitating to say this is a trap.....
 
Kuna kipindi meli mpya ya SMZ ilikua inaenda comoro mara 1 kwa mwezi sifahamu kama kwa ssa bado wanaendelea ila nilishapakia gari kupeleka moroni na tatizo lingine ni bandari yao kule haina kina kirefu kuruhusu meli kubwa ku-dock pale..
 
Thank you.
Habari wakuu, kama nilivyoahidi, na kaa mtu wenye kutimiza ahadi, nimefanya research, nafikiri inaitwa utafiti na swahili kuhusu biashara hapo comoros na hii ndio ukweli,comoros kwa mijibu wa idara yao ya biashara, hawajakua na statics za 2018, lakini wako na za 2017, na hii ndio mambo yalivyo,comoros mwaka wa 2017 iliingiza nchini bidhaa zenye thamani ya dollar 295 million za marekani,Na kati ya bidhaa hizo asilimia 30% zilitoka tanzania, Nataka nitaje zile vitu wanacomoro waliingiza kwao toka tanzania, RICE,SUGAR,POUTY MEAT AND PRODUCTS,WHEAT AND ITS PRODUCTS, FISH,CEMENT,( yaani sukari, cementi, unga ngano na vitu zake, samaki kuku na bidhaa zake na mafuta ya kula) katika hio mwaka wa 2017, comoros iliingiza bidhaa za dollar million $87 toka hapa kwetu tz, na nafikiri statistics za 2018 nikizipata nitaweka na lazima zitakuwa zimepita hio ya $87m us dollars, La muhimu na zuri zaidi ni kuwa comoros ni COMESA MEMBER( najua wengi munajua maana ya comesa) kwahivyo ni advantage kubwa sana kwa sisi watz,Na huhitaji capital kubwa kufanya biashara na comoos tho kuna logistics issues but hio can be dealt with, ukiwa na mtaji wa kuanzia $5-10,000 yaani dola za marekani kati ya 3-10,000 uko sawa kabisa,mimi weyewe sifanyi biashara na comoros, lakini naweza aza later this year on a much larger scale, lakini kaa kuna mtu anahitaji either maelezo zaidi, musaada au lolote kuhusu hapo comoros, jisikie huru to inbox me, have a very blessed weekend

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania wana matatizo makubwa sana.nahisi wana vailas ndani ya damu.
Matatizo ni kama ifuatayo.
1)wanafki,wafitini.yupo tayari kukualibia sehemu ya kazi.yupo tayari akudanganye ile upoteze malengo yako,na mdu Mali.
2)mtanzani ukimshika mkono popote pale rakini jua IPO siku atakufanyia kitu ambacho ujafikiria.
3)mtanzani mkalimu sana rkn ni MTU hatari (sinlent killa)
4)mtanzania muoga kusafiri,hawezi kujitoa kutafuta maisha nnje ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee baba usijiloge kupeleka nyama Comoro,peleka wanyama hai,wale ni waislamu wanata kuchinja wenyewe.
Nafikiri changamoto ni logistics za usafirishaji. Mbona Brazil wanapeleka nyama na sio live animal?
 
sorry bro mimi ni mfanyabiashara pia napeleka vitu vyangu Zambia na Congo...kiuhalisia huwezi kwenda tu sehem kuangalia fursa mikono mitupu! unaenda na kimzigo kidogo Cha kukusupport vinginevyo unaweza jikuta mtaji unafanyia tour ya kuangalia fursa... In this field of hustling every point is bizness hvyo ni bora mtu akijua hata kitu ambacho halipii largage kubwa akabeba ili ktk ile research yake anakuwa na Cha kucover some expenses.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba unichek watsup 0654171555
 
Duh .....mimi nakusanya sana iriki milima ya usambara ila nauzia mombasa na uganda
Sasa tunafanyaje?maana mimi ni mzee wa kubadili Gia angani
Any way nishafikaga visiwa vya moheli lkn nkitokea mafia
Namba ya sim nshakupa fanya hivyo tuyajenge

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fanya kunieka apo na mimi japo silimi iliki naweza kuwa na mtaji..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara na Comoro inachangamoto sana, hawa jamaa hawaongei kiswahili ni kifaransa,
pili hakuna usafir wakueleweka hasa usafir wa mizgo. Mahitaji yao mengi wanayapata kupitia zanzibar ambao wanatumia majahazi kupeleka vitu huko, napia wadau wanalalamika kua bahari yao inachangamoto ya mvua zenye upepo unaosababisha mawimbi makubwa na vimbunga.
Nchi yao yote nikama ufukwe hawawez kulima chochote kila ktu knahitajika kwao nigarama sana. Bei ya kilo ya nyama au nyanya inaweza kufika mara 5 yabei ya tz.

Kitamaduni hawa jamaa wanafanana sana nawazanzibar/watu watanga(washiraz) wengi ni waislam nimchanganyiko wa wabantu na waarabu ila walitawaliwa na waarabu na wafaransa. Wengi wanandugu uarabuni na ufaransa ambao ndo source kubwa yakipato kwao.

Vitu vyao vingi wanaagiza kutoka ufaransa, pakistan, china na kenya sababu usafir wakueleweka wa anga.
Vitu kma mchele mafuta nguo, mashine. Mbogomboga nyama navitu vinginevidogo dogo wanapata kutoka zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo mkuu nikitokea bongo nipitie Zanzibar ndo nafika Comoro kirahis?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wako poa,sasa kwa kusuka sijui unataka kuwa unatumia usafiri gani, unataka peleka bidhaa gani,na mambo kaa hayo, lakini unajua afrika ulinzi ni hivyo hivyo mkuu, na wewe culture yao yanini mkuu, si wewe ni biashara, unaenda unapeleka bidaa, unalipwa kisa unarudi hapa kwetu tz, lakini sio watu wabaya mkuu
Unajua mkuu kufahamu culture ya sehemu husika inakuwa rahisi kujua ni namna gani utafanya nao biashara ..

Enewei kama nikitaka kupeleka mf sukari labda mifuko kadhaa nikifikisha utaratibu wa kupata wateja unakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom