blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Jamani mkipata fursa huko msinisahau na mimi kwa yeyote anaehitaji mtu wakumbebea magunia nipo tiyar umoja ni nguvu 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa mkuu, lakini mtu akifanya kufuatilia atapata hio vibali, hakuna lisilowezekana, ila cha muhimu ni logistics, hio ni shinda kubwa kabisaHongera Sana Sana, Nimesikia kuwa biashara ya Mbuzi huko iko juu Sana! Tatizo kupata vibali
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wako poa,sasa kwa kusuka sijui unataka kuwa unatumia usafiri gani, unataka peleka bidhaa gani,na mambo kaa hayo, lakini unajua afrika ulinzi ni hivyo hivyo mkuu, na wewe culture yao yanini mkuu, si wewe ni biashara, unaenda unapeleka bidaa, unalipwa kisa unarudi hapa kwetu tz, lakini sio watu wabaya mkuuMkuu vip namna ya kuingia Commoros, watu wake wapoje, tamaduni zao, mfn nikitoka apa bongo na bidhaa zangu naenda kushukia wapi, ulinzi kwao upoje, namna ya kupata channel nzuri ya kuwasiliana na wateja(channels)...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu, lakini mtu akifanya kufuatilia atapata hio vibali, hakuna lisilowezekana, ila cha muhimu ni logistics, hio ni shinda kubwa kabisa
WY NOT? kwanini nisikusaidie mkuuUnafikiri Unaweza kunisaidia tuka process vibali na hizo Logistics nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini unapotaka kudeal na mtu katika masuala ya biashara. Fanya utafiti zaidi wa soko na umfahamu vyema unaetaka kufanya nae muungano wa kikazi au kukusaidia.Unafikiri Unaweza kunisaidia tuka process vibali na hizo Logistics nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa hili, ila najua mawazo yako iko wapi ni vile hutaki kuyataja, lakini nikkujulize kidogo tu, mimi hata siwezi itisha yeye hata centi moja, kaa ni vibali anataka nitampa tu adress ya hizo ofisi, hatua za kuchukua mpaka azipate hizi vibali, hata sitaki kuonana nae uso kwa uso, ile tu nitamwambie enda ofisi fulani, hakikisa una hiki na kile na mambo kaa haya, sitaki kaa nilivyosema hata kukutana nae, to najua your suggestion has helped a lot of people who fall into the trap of being conned of their hard earned cash, be blessed mkuuKuwa makini unapotaka kudeal na mtu katika masuala ya biashara. Fanya utafiti zaidi wa soko na umfahamu vyema unaetaka kufanya nae muungano wa kikazi au kukusaidia.
Natoa angalizo tu ili tuende sawa, na kwa mafanikio.
oky kweli hapa kwetu ni karibu kuliko toka brazil, nitaangalia kwa wizara yao ya biashara masharti ya kuingiza nyama toka tz, na kisa nitakupa jibu, ila ujue biashara kaa hio inahitaji quick and very safe(healthwise) logistics, lakini nakuahidi i will find out for sure, nice weekend mkuuMkuu nashukuru sana kwa maelezo yako. Mimi nataka nifanye biashara ya nyama kwani wacomoro wananunua nyama zaidi Brazil. Nafikiri logistics za hapa TZ na Comoros ni nyepesi kuliko Brazil. Please kama hutojali naomba ufafanuzi kidogo namna ya kulifikia soko la nyama.
mtaji nilitaja tu, ila ni wewe na mufuko wako mkuuKwa wenye mitaji yenu na mikakati mizuri kazi kwenu,mdau kaelezea vzr.
Sent from Nokia 7 Plus
Sikubaliani na utafiti wako kibiashara, huu utafiti wa kwenye internet unasaidia kwenye travelling tu kama flight na hotel.Habari wakuu, kama nilivyoahidi, na kaa mtu wenye kutimiza ahadi, nimefanya research, nafikiri inaitwa utafiti na swahili kuhusu biashara hapo comoros na hii ndio ukweli,comoros kwa mijibu wa idara yao ya biashara, hawajakua na statics za 2018, lakini wako na za 2017, na hii ndio mambo yalivyo,comoros mwaka wa 2017 iliingiza nchini bidhaa zenye thamani ya dollar 295 million za marekani,Na kati ya bidhaa hizo asilimia 30% zilitoka tanzania, Nataka nitaje zile vitu wanacomoro waliingiza kwao toka tanzania, RICE,SUGAR,POUTY MEAT AND PRODUCTS,WHEAT AND ITS PRODUCTS, FISH,CEMENT,( yaani sukari, cementi, unga ngano na vitu zake, samaki kuku na bidhaa zake na mafuta ya kula) katika hio mwaka wa 2017, comoros iliingiza bidhaa za dollar million $87 toka hapa kwetu tz, na nafikiri statistics za 2018 nikizipata nitaweka na lazima zitakuwa zimepita hio ya $87m us dollars, La muhimu na zuri zaidi ni kuwa comoros ni COMESA MEMBER( najua wengi munajua maana ya comesa) kwahivyo ni advantage kubwa sana kwa sisi watz,Na huhitaji capital kubwa kufanya biashara na comoos tho kuna logistics issues but hio can be dealt with, ukiwa na mtaji wa kuanzia $5-10,000 yaani dola za marekani kati ya 3-10,000 uko sawa kabisa,mimi weyewe sifanyi biashara na comoros, lakini naweza aza later this year on a much larger scale, lakini kaa kuna mtu anahitaji either maelezo zaidi, musaada au lolote kuhusu hapo comoros, jisikie huru to inbox me, have a very blessed weekend
Very true mkuu kwani lengo ni kufikia mafanikio kwa hiyo is better ku-approach hii kitu with all precautions.Asante kwa hili, ila najua mawazo yako iko wapi ni vile hutaki kuyataja, lakini nikkujulize kidogo tu, mimi hata siwezi itisha yeye hata centi moja, kaa ni vibali anataka nitampa tu adress ya hizo ofisi, hatua za kuchukua mpaka azipate hizi vibali, hata sitaki kuonana nae uso kwa uso, ile tu nitamwambie enda ofisi fulani, hakikisa una hiki na kile na mambo kaa haya, sitaki kaa nilivyosema hata kukutana nae, to najua your suggestion has helped a lot of people who fall into the trap of being conned of their hard earned cash, be blessed mkuu
Asante kwa hili, ila najua mawazo yako iko wapi ni vile hutaki kuyataja, lakini nikkujulize kidogo tu, mimi hata siwezi itisha yeye hata centi moja, kaa ni vibali anataka nitampa tu adress ya hizo ofisi, hatua za kuchukua mpaka azipate hizi vibali, hata sitaki kuonana nae uso kwa uso, ile tu nitamwambie enda ofisi fulani, hakikisa una hiki na kile na mambo kaa haya, sitaki kaa nilivyosema hata kukutana nae, to najua your suggestion has helped a lot of people who fall into the trap of being conned of their hard earned cash, be blessed mkuu
Nashukuru sana mkuu kwa concern yako. Usisite kunipatia mrejesho.oky kweli hapa kwetu ni karibu kuliko toka brazil, nitaangalia kwa wizara yao ya biashara masharti ya kuingiza nyama toka tz, na kisa nitakupa jibu, ila ujue biashara kaa hio inahitaji quick and very safe(healthwise) logistics, lakini nakuahidi i will find out for sure, nice weekend mkuu
pls uta inbox mimi ndio niwe nakujuza vile nimepata taarifa au hatua niliyofika mkuu, na hongera kwa wazo lako bora, barikiwaNashukuru sana mkuu kwa concern yako. Usisite kunipatia mrejesho.
Weekend njema.
Haaaaa no my dear sister, i am an enterprenuer, i am just trying to help someone who needs help, either in ideas, knowledge or otherwise, otherwise i am an african enterprenuer, based in EU, be blessed and thanks