elitee
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 327
- 344
ooh sorry bro inatakiwa upate hint kidogo ili uendapo uende na kitu ambacho hakina largage kubwa kitakupa nauli au cover some costs so kwenda mikono mitupu Kama mtalii...Kama una hela nenda kule kwa wiki moja au mbili ufanye uchunguzi wako, bidhaa zinazohitajika, wateja wako, bei, gharama za kusafirisha.
Ukirudi elimisha watu unaowaamini umoja ni nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app