Habari wakuu, kama nilivyoahidi, na kaa mtu wenye kutimiza ahadi, nimefanya research, nafikiri inaitwa utafiti na swahili kuhusu biashara hapo comoros na hii ndio ukweli,comoros kwa mijibu wa idara yao ya biashara, hawajakua na statics za 2018, lakini wako na za 2017, na hii ndio mambo yalivyo,comoros mwaka wa 2017 iliingiza nchini bidhaa zenye thamani ya dollar 295 million za marekani,Na kati ya bidhaa hizo asilimia 30% zilitoka tanzania, Nataka nitaje zile vitu wanacomoro waliingiza kwao toka tanzania, RICE,SUGAR,POUTY MEAT AND PRODUCTS,WHEAT AND ITS PRODUCTS, FISH,CEMENT,( yaani sukari, cementi, unga ngano na vitu zake, samaki kuku na bidhaa zake na mafuta ya kula) katika hio mwaka wa 2017, comoros iliingiza bidhaa za dollar million $87 toka hapa kwetu tz, na nafikiri statistics za 2018 nikizipata nitaweka na lazima zitakuwa zimepita hio ya $87m us dollars, La muhimu na zuri zaidi ni kuwa comoros ni COMESA MEMBER( najua wengi munajua maana ya comesa) kwahivyo ni advantage kubwa sana kwa sisi watz,Na huhitaji capital kubwa kufanya biashara na comoos tho kuna logistics issues but hio can be dealt with, ukiwa na mtaji wa kuanzia $5-10,000 yaani dola za marekani kati ya 3-10,000 uko sawa kabisa,mimi weyewe sifanyi biashara na comoros, lakini naweza aza later this year on a much larger scale, lakini kaa kuna mtu anahitaji either maelezo zaidi, musaada au lolote kuhusu hapo comoros, jisikie huru to inbox me, have a very blessed weekend