Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

vip kuhusu vibali vya kuingiza bdhaa huko na hapa kwetu kutoa mzigo?
pia je ni lazima ue na kampuni au unaweza fanya as sole propriator?

Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza kufanya sole propriator si lazima uwe na company .kuhusu vibali hapa kwetu inategemea na bidhaa unatopeleka kwenye upande wa vyakula ama vinywaji havina tatuzo hapa kwetu lakn pia upande wa comoro hawana shida kwenye kuingiza bidhaa ila tu cha umuhimu ni lazima uwe na Visa ya biashara na lessen zao amabzo sio shida kupata ndan ya siku 3 tuu

.Ama unaweza tumia vibali/lesen vya yule unaempelea bidhaa hii njia wafanyabiashara weng wa tz wanatumia yan mcomoro anakuagiza mzigo na unatoa kwa vibar vyake unamuuzia mzigo anaotaka iliobak unauza kwa wengne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Comoro wanaongea lugha gani??

Na usafili kwenda na kurudi ni kiasi gani??
 
Ni usafiri gani unautumia kufikisha mizigo kule mkuu,

Tuchukulie mfano napeleka matunda kule kama tani 5
 
Please naomba no yako nikupigie,Yangu 0712660713
 
Biashara na Comoro inachangamoto sana, hawa jamaa hawaongei kiswahili ni kifaransa,
pili hakuna usafir wakueleweka hasa usafir wa mizgo. Mahitaji yao mengi wanayapata kupitia zanzibar ambao wanatumia majahazi kupeleka vitu huko, napia wadau wanalalamika kua bahari yao inachangamoto ya mvua zenye upepo unaosababisha mawimbi makubwa na vimbunga.
Nchi yao yote nikama ufukwe hawawez kulima chochote kila ktu knahitajika kwao nigarama sana. Bei ya kilo ya nyama au nyanya inaweza kufika mara 5 yabei ya tz.

Kitamaduni hawa jamaa wanafanana sana nawazanzibar/watu watanga(washiraz) wengi ni waislam nimchanganyiko wa wabantu na waarabu ila walitawaliwa na waarabu na wafaransa. Wengi wanandugu uarabuni na ufaransa ambao ndo source kubwa yakipato kwao.

Vitu vyao vingi wanaagiza kutoka ufaransa, pakistan, china na kenya sababu usafir wakueleweka wa anga.
Vitu kma mchele mafuta nguo, mashine. Mbogomboga nyama navitu vinginevidogo dogo wanapata kutoka zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hua kuna umbali wa masaa mangapi mpaka Comoro?na kwa usafiri gani
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Magu angenunua cargo airplane si ungekuta tunakuwa na usafiri wa uhakika wa kuspply vitu huko aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umefanya vema kutoa elimu hii. Binafsi nimeitafuta sana hii elimu.
 
Aisee ng'ombe wanaochukuaga ni wale wenye mapembe makubwaaaa....naonaga kuna sehemu mnadani wakomoro wananunua hao ng'ombe mkuu wanasafirishwa comoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…