Fursa ya biashara ndani ya visiwa vya Comoro

Atakayekua tayari kwa kuungana nistue
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jaamaa wanaongea kifaransa na rugha Yao ambayo inashahiiana na kiswahili ba huwez Amin wanaoongea kifaransa ni wale waliosoma tu kuna wacomoro pale hawajui kifaransa pia zaman vitu ving vilikuwa vinatoka zanzibar lakn sasa sio sana mfano nyama wanatoa Belgium kuku wanatika Brazil sometyme mpaka mbogamboga ..utakuta Muda mwingne kitunguu vinatoka India vinaenda kuuzwa comoro wakat tz tunavitunguu vya kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ng'ombe wanaochukuaga ni wale wenye mapembe makubwaaaa....naonaga kuna sehemu mnadani wakomoro wananunua hao ng'ombe mkuu wanasafirishwa comoro

Sent using Jamii Forums mobile app
ilo ndo tatizo wanatupiga bao kwa nn wacomoro waende mpaka minadan uko kununua ng'ombe tena bei rahis na wao kwenda kuuza bei juu .why wasikutane na hao ng'ombe comoro ama wachukulie hapa dar!? maana yake wakija kuchukilia hapa dar kuna watu watapata fursa ya kufanya biashara kuliko wao kwenda moja kwa moja vijijin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa kuanzia tu natakiwa niwe na mtaji kiasi gani???

Sent using Jamii Forums mobile app
mtaji inategemea na bidhaa unayoitaj kupeleka japo mara nashauri Kabla ya kuanza biashara bas ni muhimu kwenda kutazama fursa na kufanya chaguo sahihi la bidhaa utakayoweza kuipeleka

pia mara nying namshaur mtu anayeenda kutazama fursa asiende bure unabeba kamzigo kadogoo ambacho utauza kufidia gharama mana tunajua weng tz wanashindwa kutazama fursa sababu tunaogopa kutumia pesa alafu aiingiz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa visiwa vya huko ni huduma gani ya biashara ni nzuri pia kwenye biashara ya bidhaa ni zipi nzuri na zenye faidi aidha ya kilimo au products za viwandani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magu inabidi anunue meli ya mizigo ya kwenda huko ay
 
Mkuu Zerish89 namba ya simu uliyotoa naambiwa haipo nikiipiga. Nimekutumia message humu JF naomba uicheki tuangalie jinsi gani yakufanya hiyo biashara


Sent from my iPad using JamiiForums
 

Hello, I’m Priscilla nipo China. Ninafanya biashara ya kutuma mizigo Tanzania
Unaweza kutembelea IG yangu @panda_sourcing
Ninaweza kumtafutia hizo packages kwa bei ya jumla ila anatakiwa kuchukua quantity kubwa ili aweze kufadika na hiyo bei ya jumla
WhatsApp me +8618857052304
Wechat 18857052304
 

Hello, tunaweza kuwasiliana zaidi? My number is +8618857052304 WhatsApp number
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…