FURSA YA BIASHARA.....

FURSA YA BIASHARA.....

Kuna harufu ya utapeli hapa Halafu ogopa Sana mtu anakuambia Yuko Zanzibar, siku hizi matapeli wengi wanajifanya location wapo Zanzibar,
Utapeli upo Aina mbili
1.utawapa pesa kisha usubiri mzgo na hiyo itakuwa imetoka
2. Unaweza kupewa mzgo WA mafuta Halafu ukaja kugundua wateja hawanunui kwa bei hiyo , kwa hiyo ukabaki na mzgo ...

Kwa story yake zinafanana na story flan za matapeli wanakupigia simu , kwanza anajifanya anakujua anakuambia kuna mchongo WA pesa kuna wageni wake wanakuja uwapokee 😁😁 wageni wanahitaji vifaranga vya kuku ......

Kama mmewahi kusikia Hii story mtakuwa mmepata picha
 
Habari zenu, kuna fursa nimepata nzuri sana ila sina capita ya kutosha iko ivi.

Kuna jamaa anafanya kazi kampuni fulani ya mafuta ya kupikia, yaani kiwanda kipo nchi fulani kisha Tz kuna brach yao.

Jamaa ndo anahusika na oda zote zinatoka kwa kawateja, wao hawauzi dukani, ni watu wenye maduka wanakuja stoo kununua kwa bei ya jumla.
Fursa iko wapi?
Jamaa kwa kila oda kubwa anaweza kupata discount ya 500 kwa kila dumu la mafuta.
Yaani mteja akiweka oda ya dumu 1000, yeye anaenda kuongea na manager wake kumpunguzia mteja anapata kila dumu 500.

Tuna mtaji mdogo na tuna mwezi sasa, kuna mda tunapata oda kubwa hadi pcs 1,000 kila siku

Hatuna fundi

Kama kuna mtu ana capita ya kuweza kununua kuanzia dumu 200 kila siku unaingiza 100k hio ni net profit.

Ni biashara ya jumla ambayo faida yake ni ndogo lakini unaipata chapi bila changamoto yeyote.

Mchanganuo
Mfano.
1 dumu lt 20= 63,000 (zanzibar)
Ukiwa na 10m= 158 dumu
Profit 158×500= 79,000
Na kwa mwezi ni tsh 2,370,000

Nimeandika apa sio nimehadisiwa
Nina fanya na plani nipate 50m

Kadri unavyonunua mzigo mkubwa ndivyo faida inaongezeka.

Wateja wapo sio wa kutafuta.
Mtu ambaye anaweza kuinvest tukishirikiana na anahitaji maelezo zaidi. 0678362478 (whatsapp)
Unasema Kwa mtaji wa 10mil faida ni haifiki hata 80,000/-???
 
Ukweli ni mzuri ikiwa una uhakika, ikiwa ni

Leta apa idea 10m capital
Zero risk, constantly profit everyday
Sipo ku doubt
We jamaa unawaza kupingwa tu, mi nimekuuliza unaniambia nilete idea.
 
Back
Top Bottom