FURSA YA BIASHARA.....

Kuna harufu ya utapeli hapa Halafu ogopa Sana mtu anakuambia Yuko Zanzibar, siku hizi matapeli wengi wanajifanya location wapo Zanzibar,
Utapeli upo Aina mbili
1.utawapa pesa kisha usubiri mzgo na hiyo itakuwa imetoka
2. Unaweza kupewa mzgo WA mafuta Halafu ukaja kugundua wateja hawanunui kwa bei hiyo , kwa hiyo ukabaki na mzgo ...

Kwa story yake zinafanana na story flan za matapeli wanakupigia simu , kwanza anajifanya anakujua anakuambia kuna mchongo WA pesa kuna wageni wake wanakuja uwapokee 😁😁 wageni wanahitaji vifaranga vya kuku ......

Kama mmewahi kusikia Hii story mtakuwa mmepata picha
 
Unasema Kwa mtaji wa 10mil faida ni haifiki hata 80,000/-???
 
Ukweli ni mzuri ikiwa una uhakika, ikiwa ni

Leta apa idea 10m capital
Zero risk, constantly profit everyday
Sipo ku doubt
We jamaa unawaza kupingwa tu, mi nimekuuliza unaniambia nilete idea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…