Majibu ya Ontario
Boss nashukuru sana kwa huu ushauri, very short and sweet, very constructive in deed.
Kuna vitu vingi sana ambavyo vipo ndani ya mipango yetu, ndio kwanza tumeanza, nahisi hii ni wiki ya 3. Tuna miaka mingi sana ya kuendelea kukua positively.
● Soon tutafungua trading lounge
Hapa kutakua na huduma zote trader anahutaji, lounge yote itazungukwa na screens za news, charts, analysis, updates nk. Kutakua na mentors na pia tutajitahidi kila ijumaa ya kwanza ya mwezi kumleta trader makini kutoka sehemu yoyote dunuani ili tutrade nae NFP. Kutakua na kiingilio kidogo cha watu kuchangia AC, coffee, internet, service charge na umeme. It's gonna be very interesting, One of it's own kind in Africa.
● Region tours
Kwa sasa tuna office Dar pekee yake, kitu kinachotuumiza ni kua tuki_stick hapa pekee yake ina maana hii knowledge itakua locked mkoa mmoja, sasa tumefikiria kabla hatujafungua office mikoa mingine, tuwe tunafanya tour mkoa kwa mkoa. Hakuna jiwe litaachwa halijageuzwa, tutazunguka mikoa yote.
Kwa sasa tunafikiria kuanza na Mwanza week ijayo, Kisha Arusha, Mbeya na Dodoma.
● Account Management
Bado hatujaanza, lkn tunaandaa infrastructure kwa ajili ya kumanage accounts za watu wengine. Kuna watu, taasisi, makampuni nk ambao wana capital kubwa, lkn hawana trading skills and knowledge, wala hawahitaji kujifunza. So tutaingia mkataba wa kutrade pesa zao, kwa makubaliano ya kushare profits kila mwisho wa mwezi.
●Swahili Version
Tupo kwenye mchakato wa kuwaandaa walimu ambao baadae watatoa mafunzo kwa lugha mama ya kiswahili. Binafsi naandaa kitabu kuhusu forex ambacho kitakua kwa lugha ya kiswahili. Na from the bottom of my heart, I will provide it for 100% free, sitajali nitatumia gharama kiasi gani kukipublish, lkn nitahakikisha watu wanakipata bila kulipia chochote.
Kuna kitu kikubwa nakipanga... kwasasa lazima nikiri kuwa nipo busy sana, lkn nikitulia nitaanza mchakato. Nafikiria kuongea na developers wa meta trader 4 na meta trader 5 waweze kuweka option ya kucustomize platform iwe na lugha ya kiswahili.
● College learning syllabus
Hii ni ngumu, lkn hakuna kitu ambacho niliwahi kujaribu nikaishia kati.
Nutajaribu at all cost, kupush hii kitu kiasi kwamba wanafunzi wote wanaosoma college masomo ya business kuanzia ngazi ya college, wapewe specific technical knowledge kuhusu fursa zilizopo kwenye global financial markets (forex, indices, commodities, metals, stocks etc). Pia kuwepo na practical part of it. Ni ngumu but bet on me, we will be there soon than you'd ever dream. When something is broken there's always 1 guy who will be willing to fix it.
● supporting other forex institutions
Mimi kuna wanafunzi wangu, hua wanakuja ofisini wananiambia Jeff, kuna majamaa wengine wanafanya mnachokifanya, wanafundisha watu forex hadi kwa laki 5... Hua nawauliza, kwani kuna ubaya gani?? Why not??
Kama mtu ni consistent profitable trader, kaamua kuanzisha programme ya kushare knowledge ya forex, mimi nipo tayari kutoa pesa yangu mfukoni kumsupport Ili watanzania wengi zaidi waipate hii elimu. Kama mtu akiweza kunipa proof ya trading history yake, na nikaona uhalisia wa trades zake, then nipo willing kumsupport kwa chochote kile.
Nothing is impossible to a willing heart, it's a matter of patience and grinding hard and smart. Mzee mandela aliwahi kusema It always seems impossible until it's done