Fursa ya Forex; Ushauri Wangu kwa Bw. Ontario

Wiki hii nami nimekuwa "nabet "fx kwa mafanikio makubwa ukulinganisha na nilivyoanza wiki iliyopita kiasi kwamba hadi hii wiki inaisha ni sipo double acc nitajipa adhabu ya kutotrade Massa 12 wiki ijayo, pia kesho mchana nitatoa angalau USD 100 niliyoipata kwa" kubet" forex inisaidie Mimi na dola 40 nisaidie ndugu mwenye uhitaji.
Pia nimejifunza kuwa mtu ambaye yupo negative kuhusu hii ''betting'' hawezi kufanikiwa kabisa.
 
Nina uhakika utapiga hela ndefu sana, kwasababu attitude yako ina elements za down character to earth.
Mungu awe nawe usiyotishwa na vichangamoto vya maneno.

Furnace makes fine gold.
Keep on trading jo.
 

Dodoma ni lini?
 
Nina uhakika utapiga hela ndefu sana, kwasababu attitude yako ina elements za down character to earth.
Mungu awe nawe usiyotishwa na vichangamoto vya maneno.

Furnace makes fine gold.
Keep on trading jo.
Mkuu ukiwa jukwaa la siasa unakuaga smart kweli kweli ila ukija huku unakua kama yule mwenye kipara kama solar panel ya mjerumani!!
 
Mkuu ukiwa jukwaa la siasa unakuaga smart kweli kweli ila ukija huku unakua kama yule mwenye kipara kama solar panel ya mjerumani!!
Jamani msiwe waoga kama wana ccm, kupiga hela pia kunahitaji mtu mwenye kifua kipana.
Vimaneno kidogo tu vinawatoa kwenye reli! Jamani keep on trading. You will one day use your profit to cover my medical expenses as unknown people are trucking me.
 
Sio wote lazima tufanye Forex

Wengine tufanye vibarua vingine tujiingizie kipato

Forex is not a get rich quick scheme,lazima udedicate muda na akili na usiwe mwenye kutaka mavuno ya fasta
 
pole mkuu inaonyesha una roho mbaya na mbinafsi sana hupendi kuona mtu akifanikiwa bahati mbaya sio wote tuna roho mbaya kama yako hii mi nimehudhuria lakini naomba hii programme iwapate wote tuliohudhuria na ambao hawajahudhuria.
ombea mafanikio ya wengine huwezi kujua watakufaa vipi baadae.
pia kusema watu watalemaa hoja haina mantiki mtu akilemaa kwenye kuingiza pesa kuna ubaya gani kwani?
 
Hakika hicho kitabu ambacho kitakuwa kwalugha yakiswahili nahisi nitakuwa wakwanza kukitafuta mungu akuongoze kwahili litimie, mtaji ninao japo sio mkubwa kivile ila tatizo linalonikwamisha nilugha tu!!
 
Mkuu jamaa alishasema ana mpango wa kuanzisha traders lounge nadhan itakua ndio utekelezaji wa wako lako
 
Umeandika ushaur kuntu sana, salute kwako boss
 
WAAAOH AM SO HAPPY AND KUDOS TO MY YOUNG BRO ONTARIO MARA YA KWANZA THREAD KUHUSU FX TRADING INAANZISHWA NILIWAH SEMA KUHUSU MAFANIKIO NILOYAPATA KWA HII BIASHARA. (JAPO SIIFANYI KWA SASA)

USHAURI WANGU NI HUU : KIJANA WA KITANZANIA KAMA UNATAKA KUFAULU NA KUFANIKIWA KTK BIASHARA HII KWANZA BADILI MFUMO WAKO WOOTE WA MAISHA. FX SIO YA SIKU MOJA TU UNAPIGA HELA HAPANA. FX NI MSITU MPANA NA UNAHITAJI TAALUMA HASA NA VITENDO.
YAKUPASA UBADILI HATA MARAFIKI AMBAO HAWAKO KTK MLENGO MMOJA NA WEWE, NA UBADILI HADI CHANNEL ZA TV YAAKO.

FX INAHTAJI KUSOMA NA SIO WIKI MOJA TUU UNASEMA UTAIMASTA NILIFUNDISHWA NA WATAAALM KWA GHARAMA YA JUU MIEZ MIWILI BILA KUWA NA REAL ACCOUNT NA NIKAACHA NIKASEMA KUWA NISHAIMASTA NILICHOKIPATA NILIRUDI KWA WALE WATAALAMU HUKU SINA HAMU.

NARUDIA TENA KAA CHINI SOMA KWA UMAKINI HASA NA BADILI MFUMO WAKO WOTE WA MAISHA MIEZ SITA TAFTA MTALAAM KAA NAE SOMA NA AKUPE NONDO MOJA BAADA YA NYINGINE. NA UNAPOJIFUNZA USIPOELEWA CONCEPT HATA MOJA PLZ USIKAE KIMYA ULIZA WALLAH NAWAAPIA UKIFUATA HAYA NAYOKWAMBIA NA UKAJIFUNZA KIUKAMILIFU NDANI YA MIEZ SITA HUTOKAA UJILAUM KABISAAA.

PLZ NARUDIA TENA FOREX NI MSITU MPANA MNOO MI NILISHAKULA HASARA SAANA KABLA SIJAFIKA HAPA NA SITOPENDA MYAPITIE NILOYAPITIA MAAN ANAIJUA SAANA AKILI YA KIJANA WA KITANZANIA NAIJUA MNOO.

PLZ JIFUNZENI KWA BIDIII NA WALA MSISIKIE YA WATU KUWA NI UTAPELI PIGEN PESA INGALI ASUBUHI MAANA JION MMMMH TRAFIKI WATAKUWA WASHAJAAA.

SIKU NIKIPATA MUDA NITAKUJA HAPO KWA ONTARIO NIWAFUNDISHE HATA WIKI MBILI BUUUUREEEEEEEE LAKINI SOMENI VITABU NA MUIELEWEE HII BIASHARA MAAN ANAJUA BILA HIVYO MTAKUJA KUMAL HUYU BWANA MDOGO.
KILA LA KHERI
 
Barikiwa sana...
 
Mdogo wangu unakili kuzidi baba yetu, yeye anawaza shirawadu leo watamtoa nani wew unawza kuwafuata developer wa mt4 waweke option ya kiswashi?, unawaza kutengeneza syllabus ya FX? Katika masomo yangu ya chuo japo skusoma masuala ya fedha ila kuna moduli inaitwa business statistic huko nimesoma focusting, moving average, sjawahi kuvitumia ila nimekutananavyo fx ...

Keep it up
 
kama hawawezi kusoma vitabu bora waache tu waendelee na ishu nyingine....forex bila kusoma vitabu hutaiweza
Umenidanganya. Mimi hata sijui kitabu kimoja cha forex. Latrade na kuwaelekeza wengine.

Labda ungewaambia kuwa forex is not for everyone
 
Mkuu ww ni smart! Salute kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…