Fursa ya Kazi - Kuendesha Guest House Mwanza

CCSN

Member
Joined
Apr 7, 2019
Posts
8
Reaction score
5
Habari wana Jamii,

Ninatafuta mtu anayeweza kuendesha nyumba ndogo ya wageni iliyoko mjini Mwanza, maeneo ya Buswelu. Mwombaji kazi awe na elimu na uzoefu katika mambo ya biashara na kompyuta (kwa ajili ya uendeshaji wa biashara hiyo na kuitangaza katika majukwaa tofauti tofauti likiwemo la tovuti/internet), awe mwenye uzeofu wa kazi inayofanana na mwenye juhudi na kujisimamia mwenyewe.

Kama una shauku au unamfahamu mtu mwingine anayetafuta ajira kama hiii, mawasiliano yetu ni: info@societalnurturing.com

Tafadhali usisahau kututumia wasifu/CV yako.

Ahsante
 
Nawatakia kila la kheri wote watakaotuma maombi ila mkifanikiwa mtupe mrejesho wakuu.
 
Ahsante kwa maombi yaliotufikia. Tutawasiliana na waombaji kuhusu utaratibu unaofuata (usaili, maamuzi n.k.)
 
Ni
Ni pm mkuu tuyajenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…