Nchiyanguu
JF-Expert Member
- Sep 3, 2021
- 320
- 626
Sawa Mkuu, Asante piaKula na kulala bure... wangekuwa hawafanyi kazi kwako unewapa hicho chakula na malazi ya bure? Sema kula na kulala ni sehemu ya mshahara, hakuna kitu cha bure mkuu. By the way hongera kwa kuongeza fursa za kupunguza makali ya umasikini kwa vijana.
Kamata fursa hiyo, kula kulala kwa shemeji kila siku sio poaHiyo sio kaz sema unatafuta mtumwa achen kuharibu maana ya maneno
Hakika...Hiyo sio kaz sema unatafuta mtumwa achen kuharibu maana ya maneno