Fursa ya Kazi: WhyNot In Lounge and Kitchen ya Goba

Fursa ya Kazi: WhyNot In Lounge and Kitchen ya Goba

elnathan

Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
52
Reaction score
6
WhyNot In Lounge and Kitchen ipo Goba Dar es salaam
Tunatafuta staff ili kufanya kazi katika hii business mpya iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo:

📌 Manager
📌 Bartender/Counter Staff
📌 Servers/Waitress
📌 Cleaners

Vigezo vya Muombaji:​

✅ Uzoefu wa kufanya kazi kwenye sehemu za kuhudumia vinywaji na chakula.
✅ Uwezo wa kufahamu na kuandaa aina tofauti za vyakula na vinywaji.
✅ Uchangamfu na ustadi wa kuhudumia wateja kwa weledi.
✅ Kwa Bartender/Counter Staff: Uwezo mzuri wa hesabu na kusimamia utoaji wa vinywaji.

Mshahara na Marupurupu: Makubaliano kulingana na uzoefu​

📩 Tuma Maombi Yako Sasa! Tuma CV yako au maelezo kuonyesha uzoefu wako kupitia: whynotinn2021@gmail.com au whatsapp 0718003601
 
Attachments

  • job ad.png
    job ad.png
    520.3 KB · Views: 5
Chukueni watu fresh wapeni short training pigeni kazi mambo ya uzoefu uzoefu upuuzi sometimes

Kule kwenye bomba la Mafuta na kule kwenye mradi wa Umeme ndicho walichofanya wazoefu hakuna chukua waliopo wape short training pigeni kazi piga pesa
 
Ushauri mzuri sana huu
 
Back
Top Bottom