Fursa ya kazi ya kuchuma matunda Uingereza kiangazi cha 2020

Kama una pesa ya kushughulikia nenda rudi za passport, nenda rudi za viza na nauli ya kwenda Uingereza si uifanye kama mtaji wa biashara hapa Tz?
 
Nlisikia Tangazo kwenye mashamba ya miwa morogoro huko
naomba muongozo analifahamu vzur hili swala
 
Dah asante mkuu. Ila mishe hizo hapana mkuu,ni afadhali twende iringa tukalime mashamba yetu wenyewe kuliko hizo za kusema upo ulaya halafu unashinda maporini miezi yote.
Ila ni kweli kabisa ulichoandika
 
Kati ya visa ngumu kuzipata ni pamoja na ya Uingereza. Hizo kazi wanapewa watu wa visiwa vya Caerebbean ambao wana unafuu kutokana na kuendelea kumtambua malkia Elizabeth kama mtawala wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…