Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 31, 2024 #2 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,130 Reaction score 3,599 Jan 2, 2025 #3 Kapicha mkuu
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,363 Reaction score 10,265 Jan 8, 2025 #4 Mauzo ni milioni 3, 166,000 kwa mwezi. Kodi almost 417,000 kwa mwezi. Biashara inauzwa 35,000,000ml tu na kodi ya miezi 10 hivi. Lakini hela hiyo utairudisha ndani ya mwaka mmoja na nusu. Kazi kwenu wakutoa pesa chap chap. Mimi hii ikikaa mpaka mwezi wa 3 nakuja kuwavua hiyo biashara.
Mauzo ni milioni 3, 166,000 kwa mwezi. Kodi almost 417,000 kwa mwezi. Biashara inauzwa 35,000,000ml tu na kodi ya miezi 10 hivi. Lakini hela hiyo utairudisha ndani ya mwaka mmoja na nusu. Kazi kwenu wakutoa pesa chap chap. Mimi hii ikikaa mpaka mwezi wa 3 nakuja kuwavua hiyo biashara.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jan 10, 2025 #5 KAZI ni kipimo cha UTU