BARA BARA YA 5
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 1,174
- 835
- Thread starter
-
- #21
Hii ni kweli, ukiwakuta saba saba na nane nane wako serious...ila wakati fulani ni changamotoTuwe Makini Na Hawa TARI Kuna Jamaa Huwa Namuuliza Huko Kigoma Kituo Chao Kinafanya Kazi Anasema Wapo Wapo Tu Ila Sound Nyingi
Asante sana mkuu kwa courage nzuri.Mbegu nitapewa pale TARI Tumbi ya Tabora.Nimeshaweka order ya miche kama 1000 hiviChief wazo nzuri sana , michikichi ni zao la kimkakati wasikutishe, chukua Miche Tari Kihinga pale kigoma , ile inaanza kuzbeba kuanzia miaka 2 na nusu,.miaka 5 inafika kwenye full production capacity kuanzia miaka 5, mq lifetime yake ni 27-30years. Mawese ana soko sana , na haya mafuta ya Mo au hivi viwanda vingi vya Dar havitegemee alizeti bali mawese kutoka Indonesia. Ukitaka machine ya kukamua na mm naweza kukusaidia kui design, au nenda Temdo au Sido. Mawese hayana process ndefu, ukikata Yale matunda ,unaachanisha vile vimbengu na gunzi Kwa Kutumia panga Kali au shoka ,then unachambua vile vimbengu, unavichemsha vikiiva unaviweka kwenye mashine unakamua , baadaye unaweka maji huku mashine inazunguka , then Yale maji anaingia kwenye tank fulani la wazi ....si process ndefu. Anza na mm niko nyuma nakusanya nguvu mkuu
Hongera kiongozi kwa uthubutu,inatakiwa watu wa namna hii,maneno machache vitendo vizungumze,nakupongeza kwa sababu umenikosha kwa kuanza kuchukua hatua,kilimo kina changamoto zake ila utajifunzia humo humo shambani utajua mengi,kikubwa changamoto utakazokutana nazo ziwe chachu ya mafanikio zisikutoe KWENYE njia ,Asante sana mkuu kwa courage nzuri.Mbegu nitapewa pale TARI Tumbi ya Tabora.Nimeshaweka order ya miche kama 1000 hivi
Kila la heri,Mimi ni mtumishi wa Umma kwa zaidi ya miaka 21 na sasa ninakaribia 50.Nafikiria nipande michikichi ya kisasa eka 10 ambayo huanza kuzaa baada ya miaka 3,hivyo nikiwa na miaka 53 takuwa na uwezo wa kupata Lita Hadi 20,000 X TZS 4,000 hivyo kupata hadi 80m kwa mwaka.
Kazi yangu kwa mwaka mshahara wangu ni 36m na arubu za ajira kibao.
Kumbuka michikichi haina gharama za kuhudumia zaidi ya palizi.Pia tapata na muda wa kufanya kazi zingine kama ufugaji wa nyuki,mbuzi na ng'ombe WA kienyeji.
Eka 10 x miche 50 = 500 x lita 40 kwa mti = 20,000Kila la heri,
Ila naomba unisaidie hesabu za Lita 20,000 x TZS 4,000 umezipataje. Maana nikirudi kinyume napata kua lita 20,000 zitatoka kwenye heka 10. Kwamba kila heka itatoa lita 2,000. Yaani Kila heka itatoa ndoo 100 za Lita 20 Kila moja.
Sasa hapa imekaaje? Hizi ndoo 100 Kwa heka 1 zenye lita 20 kila moja zinatoka kwenye miche mingapi labda?
Kahawa na ndizi kwenye shamba hilo hilo la michikichi?, au unatofautisha?.Miti ya kudumu hesabu miaka 5 vinginevyo uwe na commitment ya hali ya juu
Suala ka kusema Chikichi haina gharama sio kweli. Haina tofauti na mazao mengine.
Faida ni mti wataukuta hadi wajukuu.
Hasara watoto wako wanaweza telekeza shamba baada ya wewe kuaga diniani.
Hii nineshuhudia kwa bibi yangu na nduguze
Walitelekeza shamba wakahamia mijini.
Kama utakuwa unaandaa mwenyewe mawese basi UNA SHUGHILI NZITO. mawese kuyapata ni process sio kama alizeti.
Kama utakuwa mbunifu sawa.
Mi nikushauti panda mazao matatu hasa kama upo kigoma.
Kahawa
Ndiz
Matunda.
Na hayo mawese.
Ukipanda hayo mazao na mifugo yako usisahau kilimo cha MAHARAGE. Maharage kwa sasa yanapanda bei sana kila mwaka.
Kwenye hilo shamba usiache maharage.
Kigoma yanastawi sana.
Sawa mkuu,Eka 10 x miche 50 = 500 x lita 40 kwa mti = 20,000
Chikichi inavunwa muda wote...ila huchanganya zaidi wakati wa nasikia.. Nov hadi Apri kwa TaboraSawa mkuu,
Kwamba heka moja iliyoandaliwa vizuri ni Miche 50 x Lita 40 Kwa mche X TZS 4,000 Kwa lita
= TZS 8,000,000/-
Kwani mche mmoja huvunwa mara ngapi Kwa mwaka? Kuna msimu (miezi) maalumu wa michikichi kuvunwa? Au muda wowote tu?
Poa MkuuChikichi inavunwa muda wote...ila huchanganya zaidi wakati wa nasikia.. Nov hadi Apri kwa Tabora
Nisaidie kitu kwa mimi wa dsm napataje mafuta yamawese. Grade 1 na kwa sasa dumu Tsh ngapi. Na pia napataje mafuta hayo hayo ya mawese grade ya mwisho yaani namaana yale ambayo ukigusa kwa kidole yanakua bado yana maback vidogo vidogo vya chikichiChief wazo nzuri sana , michikichi ni zao la kimkakati wasikutishe, chukua Miche Tari Kihinga pale kigoma , ile inaanza kuzbeba kuanzia miaka 2 na nusu,.miaka 5 inafika kwenye full production capacity kuanzia miaka 5, mq lifetime yake ni 27-30years. Mawese ana soko sana , na haya mafuta ya Mo au hivi viwanda vingi vya Dar havitegemee alizeti bali mawese kutoka Indonesia. Ukitaka machine ya kukamua na mm naweza kukusaidia kui design, au nenda Temdo au Sido. Mawese hayana process ndefu, ukikata Yale matunda ,unaachanisha vile vimbengu na gunzi Kwa Kutumia panga Kali au shoka ,then unachambua vile vimbengu, unavichemsha vikiiva unaviweka kwenye mashine unakamua , baadaye unaweka maji huku mashine inazunguka , then Yale maji anaingia kwenye tank fulani la wazi ....si process ndefu. Anza na mm niko nyuma nakusanya nguvu mkuu
wamekuuzia bei gani micheAsante sana mkuu kwa courage nzuri.Mbegu nitapewa pale TARI Tumbi ya Tabora.Nimeshaweka order ya miche kama 1000 hivi
3,000/=wamekuuzia bei gani miche