Chief wazo nzuri sana , michikichi ni zao la kimkakati wasikutishe, chukua Miche Tari Kihinga pale kigoma , ile inaanza kuzbeba kuanzia miaka 2 na nusu,.miaka 5 inafika kwenye full production capacity kuanzia miaka 5, mq lifetime yake ni 27-30years. Mawese ana soko sana , na haya mafuta ya Mo au hivi viwanda vingi vya Dar havitegemee alizeti bali mawese kutoka Indonesia. Ukitaka machine ya kukamua na mm naweza kukusaidia kui design, au nenda Temdo au Sido. Mawese hayana process ndefu, ukikata Yale matunda ,unaachanisha vile vimbengu na gunzi Kwa Kutumia panga Kali au shoka ,then unachambua vile vimbengu, unavichemsha vikiiva unaviweka kwenye mashine unakamua , baadaye unaweka maji huku mashine inazunguka , then Yale maji anaingia kwenye tank fulani la wazi ....si process ndefu. Anza na mm niko nyuma nakusanya nguvu mkuu