Fursa ya Kilimo cha Chikichi kibiashara

Fursa ya Kilimo cha Chikichi kibiashara

Tuwe Makini Na Hawa TARI Kuna Jamaa Huwa Namuuliza Huko Kigoma Kituo Chao Kinafanya Kazi Anasema Wapo Wapo Tu Ila Sound Nyingi
Hii ni kweli, ukiwakuta saba saba na nane nane wako serious...ila wakati fulani ni changamoto
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Chief wazo nzuri sana , michikichi ni zao la kimkakati wasikutishe, chukua Miche Tari Kihinga pale kigoma , ile inaanza kuzbeba kuanzia miaka 2 na nusu,.miaka 5 inafika kwenye full production capacity kuanzia miaka 5, mq lifetime yake ni 27-30years. Mawese ana soko sana , na haya mafuta ya Mo au hivi viwanda vingi vya Dar havitegemee alizeti bali mawese kutoka Indonesia. Ukitaka machine ya kukamua na mm naweza kukusaidia kui design, au nenda Temdo au Sido. Mawese hayana process ndefu, ukikata Yale matunda ,unaachanisha vile vimbengu na gunzi Kwa Kutumia panga Kali au shoka ,then unachambua vile vimbengu, unavichemsha vikiiva unaviweka kwenye mashine unakamua , baadaye unaweka maji huku mashine inazunguka , then Yale maji anaingia kwenye tank fulani la wazi ....si process ndefu. Anza na mm niko nyuma nakusanya nguvu mkuu
 
Asante sana mkuu kwa courage nzuri.Mbegu nitapewa pale TARI Tumbi ya Tabora.Nimeshaweka order ya miche kama 1000 hivi
 
Hongera kiongozi kwa uthubutu,inatakiwa watu wa namna hii,maneno machache vitendo vizungumze,nakupongeza kwa sababu umenikosha kwa kuanza kuchukua hatua,kilimo kina changamoto zake ila utajifunzia humo humo shambani utajua mengi,kikubwa changamoto utakazokutana nazo ziwe chachu ya mafanikio zisikutoe KWENYE njia ,

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mtumishi wa Umma kwa zaidi ya miaka 21 na sasa ninakaribia 50.Nafikiria nipande michikichi ya kisasa eka 10 ambayo huanza kuzaa baada ya miaka 3,hivyo nikiwa na miaka 53 takuwa na uwezo wa kupata Lita Hadi 20,000 X TZS 4,000 hivyo kupata hadi 80m kwa mwaka.

Kazi yangu kwa mwaka mshahara wangu ni 36m na arubu za ajira kibao.

Kumbuka michikichi haina gharama za kuhudumia zaidi ya palizi.Pia tapata na muda wa kufanya kazi zingine kama ufugaji wa nyuki,mbuzi na ng'ombe WA kienyeji.
Kila la heri,
Ila naomba unisaidie hesabu za Lita 20,000 x TZS 4,000 umezipataje. Maana nikirudi kinyume napata kua lita 20,000 zitatoka kwenye heka 10. Kwamba kila heka itatoa lita 2,000. Yaani Kila heka itatoa ndoo 100 za Lita 20 Kila moja.

Sasa hapa imekaaje? Hizi ndoo 100 Kwa heka 1 zenye lita 20 kila moja zinatoka kwenye miche mingapi labda?
 
Eka 10 x miche 50 = 500 x lita 40 kwa mti = 20,000
 
Miti ya kudumu hesabu miaka 5 vinginevyo uwe na commitment ya hali ya juu
Suala ka kusema Chikichi haina gharama sio kweli. Haina tofauti na mazao mengine.
Faida ni mti wataukuta hadi wajukuu.
Hasara watoto wako wanaweza telekeza shamba baada ya wewe kuaga diniani.
Hii nineshuhudia kwa bibi yangu na nduguze
Walitelekeza shamba wakahamia mijini.
Kama utakuwa unaandaa mwenyewe mawese basi UNA SHUGHILI NZITO. mawese kuyapata ni process sio kama alizeti.
Kama utakuwa mbunifu sawa.
Mi nikushauti panda mazao matatu hasa kama upo kigoma.
Kahawa
Ndiz
Matunda.
Na hayo mawese.
Ukipanda hayo mazao na mifugo yako usisahau kilimo cha MAHARAGE. Maharage kwa sasa yanapanda bei sana kila mwaka.
Kwenye hilo shamba usiache maharage.
Kigoma yanastawi sana.
Kahawa na ndizi kwenye shamba hilo hilo la michikichi?, au unatofautisha?.
 
Eka 10 x miche 50 = 500 x lita 40 kwa mti = 20,000
Sawa mkuu,
Kwamba heka moja iliyoandaliwa vizuri ni Miche 50 x Lita 40 Kwa mche X TZS 4,000 Kwa lita
= TZS 8,000,000/-

Kwani mche mmoja huvunwa mara ngapi Kwa mwaka? Kuna msimu (miezi) maalumu wa michikichi kuvunwa? Au muda wowote tu?
 
Chikichi inavunwa muda wote...ila huchanganya zaidi wakati wa nasikia.. Nov hadi Apri kwa Tabora
 
Chief wazo nzuri sana , michikichi ni zao la kimkakati wasikutishe, chukua Miche Tari Kihinga pale kigoma , ile inaanza kuzbeba kuanzia miaka 2 na nusu,.miaka 5 inafika kwenye full production capacity kuanzia miaka 5, mq lifetime yake ni 27-30years. Mawese ana soko sana , na haya mafuta ya Mo au hivi viwanda vingi vya Dar havitegemee alizeti bali mawese kutoka Indonesia. Ukitaka machine ya kukamua na mm naweza kukusaidia kui design, au nenda Temdo au Sido. Mawese hayana process ndefu, ukikata Yale matunda ,unaachanisha vile vimbengu na gunzi Kwa Kutumia panga Kali au shoka ,then unachambua vile vimbengu, unavichemsha vikiiva unaviweka kwenye mashine unakamua , baadaye unaweka maji huku mashine inazunguka , then Yale maji anaingia kwenye tank fulani la wazi ....si process ndefu. Anza na mm niko nyuma nakusanya nguvu mkuu
Nisaidie kitu kwa mimi wa dsm napataje mafuta yamawese. Grade 1 na kwa sasa dumu Tsh ngapi. Na pia napataje mafuta hayo hayo ya mawese grade ya mwisho yaani namaana yale ambayo ukigusa kwa kidole yanakua bado yana maback vidogo vidogo vya chikichi
 
Mrejesho wa miche yangu...nimetoka shamba wiki iliyopita. Nimekuta miche yote imeshika na hakuna hata 1 uliokauka.Nimeiwekea mbolea ya samadi na kuipalilia tena.Najiandaa kupanda mingine 300 ili iwe 500 mwezi wa 11 mwaka huu.
 
Back
Top Bottom