Mahitaji ya soko ni tani 1000000 uwezo wa nchi ni tani 300,000 kingine tanzania msimu wa korosho ni wa pekee wakati huku zipo wazalishaji wakubwa ivory coast brazil wanakuwa bado fursa bado ipo saana na kama tukawekeza kuwa na viwanda, faida ita triple zaidi ya bei ya mibadani na hili ndiyo lengo
Soko la ndani la korosho bado hatujalimaza huko nje ndiyo usiseme hali ya hewa na aina ya mikorosho iliyopo tz sehem nyingine hakuna huku inaanza kuzaa mwezi wa saba nane kufikia wa kumi mnaanza kupeleka minadani wa 12 na januari inaenda vietnam kwenye soko la dunia wakat na ni tanzania pekee kwa kipindi hicho huwa na korosho nchi nyingine hazina tunachozalisha hakitoshi ndan na nje ya nchi bado korosho zetu bora.Kuroshio ni ghali sana katika soko la dunia, kilo moja hufika Tshs 30,000-40,000
Kama kungekuwa na uwezekano wa kupata mnunuzi mfano supermarket za nje anaenunua jumla ingekuwa bora.Soko la ndani la korosho bado hatujalimaza huko nje ndiyo usiseme hali ya hewa na aina ya mikorosho iliyopo tz sehem nyingine hakuna huku inaanza kuzaa mwezi wa saba nane kufikia wa kumi mnaanza kupeleka minadani wa 12 na januari inaenda vietnam kwenye soko la dunia wakat na ni tanzania pekee kwa kipindi hicho huwa na korosho nchi nyingine hazina tunachozalisha hakitoshi ndan na nje ya nchi bado korosho zetu bora.
Soko lipo la uhakika kikubwa ni uthubutu umoja ni nguvu.Kama kungekuwa na uwezekano wa kupata mnunuzi mfano supermarket za nje anaenunua jumla ingekuwa bora.
Mkuu lindi umapatikana maeneo gani. . Wailesi. .msinjahili. .mpilipili au sabasaba jamhuri kule chini.Karibuni Lindi wakuu,.
Nipo national housing kwa sasa,. karibu na hospital ya mkoa sokoine.Mkuu lindi umapatikana maeneo gani. .
Wailesi. .msinjahili. .mpilipili au sabasaba jamhuri kule chini.
Au Mnazimmoja kiwalala mpaka ndanda
Sawa Mkuu, nikifika lindi nitakutafuta. Hayo maeneo yote nayajua.Nipo national housing kwa sasa,. karibu na hospital ya mkoa sokoine.
Poapoa, ila soon narudi town. Ntarudi tena baada ya muda mfupi huku.Sawa Mkuu..
nikifika lindi nitakutafuta.
hayo maeneo yote nayajua
Sawa Mkuu tutawasiliana PMPoapoa,ila soon narudi town. Niarudi tena baada ya muda mfupi huku.
Karibu.Sawa Mkuu tutawasiliana PM
Mkuu soko lipo vipi hasa kwa dar nataka kuchukua korosho mtwara nipeleke dar naomba kujua bei ya soko la dar kwa kilo. na kama kuna sehemu naweza kwenda kufanya survey kupata ufahamu zaidi.Soko lipo la uhakika kikubwa ni uthubutu umoja ni nguvu.
Unataka kupeleka dar korosho za aina gani?mkuu soko lipo vipi hasa kwa dar nataka kuchukua korosho mtwara nipeleke dar naomba kujua bei ya soko la dar kwa kilo. na kama kuna sehemu naweza kwenda kufanya survey kupata ufahamu zaidi
.
Kila siku nashinda mtefuni hapo kunywa.Nipo national housing kwa sasa,. karibu na hospital ya mkoa sokoine.
Katika hili jambo siasa zote zipite zituache tufanye mambo yetu wakija kushtuka tumeshika soko la korosho la ndani unalima unavuna unapeleka kiwandani kuongeza thamani na si mnadani.Wacha wapige siasa Ili haya ndio tulikuwa tunayataka..... Magufuli oyeeeeee
Haya mambo ya kufanya kwa sisi vijana tusije kuja kuulizwa maswali na watoto zetu tulikuwa wapi wakat wenzetu wanakimbilia fursa.duh, huu uzi sijui ulinipita vipi. kwakweli haya ndio mambo tunataka kusikia. kwakweli serikali ya Lindi kama kweli watafanikiwa katika hili ntawapa hongera sana. yaani Tz tukiamua kulima kwa kisasa na akili kubwa hakika tutatoka. infact inabidi tufanye in such a way wanunuzi wa dunia watazifuata huku kwetu.