Biggs
JF-Expert Member
- May 3, 2014
- 2,068
- 2,314
Mahitaji ya soko ni tani 1000000 uwezo wa nchi ni tani 300,000 kingine tanzania msimu wa korosho ni wa pekee wakati huku zipo wazalishaji wakubwa ivory coast brazil wanakuwa bado fursa bado ipo saana na kama tukawekeza kuwa na viwanda, faida ita triple zaidi ya bei ya mibadani na hili ndiyo lengo
Vile vile korosho ya ukanda huo ni ya daraja la juu/best grade hivyo kupelekea kuwa na uhitaji na bei nzuri katika soko.